@Muhanuzi16@JigulaJose93385@kasesco_tz Na ile likizo fupi ya mwezi wa tisa yenyewe huwa inafuata tarehe ya sherehe gani..
Likizo fupi kwa mwaka ziko mbili ya mwezi wa nne na ya mwezi wa tisa ...hazina mahusiano yoyote na pasaka ndugu mwananchi.
@Therealngassa@wise_mwananchi land cruiser , Nissan Patrol, Benz BMW Range N.k. .......maarufu ni Toyota Land Cruiser(kwa bongo)...laki gari zenye engine V8 ni nyingi
@Zephania_Ndaki Bob Marley hakufa kwa kupigwa risasi lakini..
Alivamiwa na watu wasiojulikana siku mbili kabla ya tamasha la smile Jamaica akapigwa risasi mkononi siku ya tamasha akapafomu kama kawaida ilikuwa mwaka 76 akaja akafariki mwaka 81 kwa salatani..
@Drmtumishi1@fbuyobe D-Director
G- General of
I- Intelligence and
S-Security..
Director General of Intelligence and Security (Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Upelelezi na Usalama)
@TARIKSALIM3@Godie_StarboeII@Dingi_1234 Tafuta magimbi utafune ndugu mwananchi kimsingi sihusiki na matatizo yako binafsi ya kukimbia shule ndugu mwananchi kama ulikosa bahati ya kwenda shule basi hakikisha watoto wanasoma vizuri ndugu mwananchi..