@AliKachua@Ngailo@Mkali26Og@Aruatani@MkulimaKante Yeah mi nimepita SJUT 2017-21, namjua vzuri kante. Alikua akipita venue night nimenunua sana karanga kwake zile karanga fresh๐ ko mtu akisema sijui nini nini unamuangalia tuu. Commitment ya Kante na Heshima kwenye anachokifanya hata mimi binafsi naitamani๐ focus yake ni kubwa๐
@Ngailo@Mkali26Og@Aruatani@MkulimaKante Hapana, ila nimekua nikijifunza kuheshimu hustle za watu. Sio kila kitu unachokiamini kiko right, lazima uelewe maisha yako nje ya unachokiwaza na kukalili wewe, The kid is real Hustler, alifanya mishe ambazo vijana wengi wa chuo tulijivika ubishoo na alisogea. Ni HESHIMA tuu
@ufntc Nyerere alisacrifice kila kitu kupinga ukabila. Watu easily tuu wana entertain hizi mbaga, that man to me mostly namuonaga ni public speaker tuu. Huwezi kua kiongozi kila ukiona kipaza unataka kuongea, huna control
@Ngailo@Mkali26Og@Aruatani@MkulimaKante Hamna huyo janja binafsi mepiga nae chuo kimoja ye akiwa dip mi bach. Issue ni kwamba hapo alipokua anauzia ni Nyerere square pale Dom, ni eneo vijana wamejiajiri pia kupiga picha wana camera asubuhi mpaka usiku. Lkn hajaanzia ukwaju college alikua anazungusha pip, ni hustler
@Dayzdigger@Mhaini2025 Fisi, simba, chui wanaua kwa sababu mbili tuu 1. Chakula 2. Kulinda territory zao adui akiingilia/kuvuka mipaka, ili kuiweka safe generation yake
Sisi binadamu ni viumbe katili na worse zaidi kuwao kuexist kwenye hii dunia.
@iammartial97@InnocentJLS Ile kusimamia nidhamu, wapinzani wakasema mtu mzima hatakiwi kufokewa, mara haki za binadamu. Kiufupi hata hao wapinzani ni wanasiasa mno muda mwingine. Kuna moment walipinga kila kitu.
@InnocentJLS@iammartial97 Uwajibikaji unapoanza kua implemented hauendi pamoja na demokrasia. Hao upinzani walizomea na kugomea hotuba ya kwanza tuu ya Rais Bungeni, walipinga kila mradi ambayo almost yote tunanufaika wote, SGR, project ya umeme, barabara, ndege, ndo demokrasia mnaongeleaga?