Ukiataka kujijua wewe ni nani EXACTLY.
-Angalia pale unapokosolewa, una-react vipi.?
-Angalia pale unapokasirika, unafanya nini.?
-Angalia pale unapokataliwa huwa una respond vipi?
-Angalia ule muda ambao upo mwenyewe huwa unafanya nini.
Uyo ndo mtu unapaswa kumfanyia KAZI.
TABIA 6 ZA KUWA MWANAUME MWENYE THAMANI
1. Fanya mazoezi.
2. Kubali changamoto.
3. Jitathmini na Jiboreshe.
4. Weka mipaka, sema HAPANA.
5. Kuwa na malengo yaliyo wazi.
6. Jenga nidhamu ya mwendelezo wa kufanya kila siku.
Be valuable MAN.
Mwanaume.
Ukipata nafasi ya kuonyesha uwezo wako, show your BEST bro.
Hujui ni fursa gani inaweza kufunguliwa na namna utakavyoitumia nafasi hiyo.
Usidharau jukwaa lolote.
Toa ubora wako, haijalishi uko mbele ya watu wangapi.
Every effort counts.
LOCK IN
Hakuna mtu anayeweza kumzuia mwanaume ANAEJIAMNI mwenyewe.
NEVER..
Ukijua thamani yako
Ukijua unataka nini na wapi unaeda..
NO ONE CAN STOP YOU.
LOCK IN, Be one of them.
Mwanaume.
1. Fanya kazi wakati amna anaekuona.
2. Endelea pale wengine wamekata tamaa.
3. Ongeza IMANI kwenye malengo yako.
4. Jenga tabia sahihi za mafaniko.
Acha MATOKEO yako yajitambulishe.
Mwanaume unaejitafuta..
1. Pesa ni chombo, itumie kukujengea utajiri.
Wekeza, Jenga mifumo.
2. Jenga Network sahihi, maisha yanahitaji watu sahihi.
3. Jiboreshe kila siku, Ongeza maarifa, jenga nidhamu na tabia sahihi.
4. Kuwa na mipaka, Heshimu malengo na maono yako.
Ukitaka kujua uwezo wa AKILI ya mtu, usiangalie tu anachojua.
Angalia ANAVYOFIKIRI kuhusu..
-Dini
-Siasaa
-Simba na Yanga
-Masuala yenye mitazamo inayopingana
Mtu mwenye akili pana haoni dunia kwa upande mmoja pekee.
Anaona pande zote mbili, kutofautisha hisia na ukweli.
Arsène Wenger alijenga uwanja mpya, akauza mastaa wake kila msimu ili klabu isife kifedha, huku akipambana kuhakikisha Arsenal inafuzu Champions League kila mwaka. Wakati yeye anajinyima na kubeba mzigo wote huo, wengine walikuwa wanapika mapato.. 👇
Após a conferência de imprensa do Selecionador Nacional, e no seguimento de uma conversa com o Presidente da Federação Portuguesa de Futebol, tomei a decisão de deixar o estágio da Seleção Nacional.
A seu tempo, direi a verdade a todos os Portugueses sobre as razões que motivaram a minha saída da equipa nacional, à qual sempre me dediquei.
Agora é tempo de desejar boa sorte a Portugal e a todos os meus companheiros de equipa, sem exceção.
Kama ni issue ya payment👇
Most of Agreements terms of payment huwa ni 30days! yani tutakulipa ndani ya siku 30 baada ya kupokea invoice yako!
Hakikisha ukisubmit invoice isiwe na kosa hata moja, whatever they need uwe nacho( Hapa ndio kuna back and forth nyingi)
Kila kizuri kimefichwa.
Kila chenye thamani hakipatikani kirahisi.
Kila kitu unachokitaka sana, kinahitaji uvumilie, ujifunze na upambane kukipata.
Thamani kubwa iko nyuma ya ugumu mkubwa.
Pesa haziendi kwa mtu anayezitafuta.
Pesa zinaenda kwa yule aliyefanikiwa.
Mtu aliyefanikiwa yupi..?
1. Mwenye ujuzi wenye thamani.
2. Anayeweza kutatua matatizo ya watu.
3. Anayeaminika.
4. Anayeweza kutengeneza thamani.
USITAFUTE PESA
Jenga thamani, Pesa zitafuata.