@eastafricatv CCM inabidi wamstaafishe huyu maza kwa maslahi ya nchi..... Dunia iliumbwa kuongozwa na MWANAUME SIO MWANAMKE, MWANAMKE NI MSAIDIZI TU...CDF mwanamke HAPANA.
@godbless_lema Nilikuwa sikubaliani na some of the issues za jiwe kama vile watu kupotezwa ila nchi hii inahitaji kiongizi jeuri na katili kuliko jiwe..nchi wajinga wengi sana na kuiponya inahitaji RAIS kichaa .nchi haihitaji mfumo inahitaji kiongozi jasiri na mwenye maono tu na maamuzi magumu
@JamiiForums Ruto kapiga mkwanja wa mmarekani kuurudisha hawezi bora tu awapeleke wakenya wakafie huko...viongozi wa kiafrika ni papeti wa devil chini ya mwamvuli wa amerikan...ili ukalie kiti cha urais duniani lazima u negotioate na devil under american umbrellar.kizingua wanakuchomoa chap
@BabaMwita Hii nchi imejaa wajinga wengi sanaa kuikomboa ni mpaka kizazi cha Nyerere kiishe. Yani mtu unatoka kwako kwenda kumsikiliza mharifu sugu atatue matatizo yako si ujinga huu...
@HusseinBashe@samkawale1 You can't teach an old dog a new trick... CCM and its regime is a big cancer to our country.. They create problems each year and think they are smarter than others.. Just taking advantages of poor citizens..
@rollymsouth Teknikali mkurugenzi yuko sahihi kuhusu ujenzi wa zahanati...kwani lini serikali ikawa na pesa bila kukwapua za wananchi(kwa kisingizio cha kodi?) Ukweli ni kwamba serikali haina pesa na pesa ni za wananchi.. ALBERT BASHITE ana ufinyu mdogo sana wa kufikiri.