25) Kuwepo kwenye ulimwengu wa “The Last Of Us” ambapo kuna zombies everywhere na wanaambukiza. Je, ulimwengu upi una afadhali? I hope nitayaona majibu yenu kwenye comments.
Till next time. Bye for now!!! ✌🏽
Kila Mtu atakwambia Anachokifanya Kinalipa...
Ila...
Ukweli ni kwamba—“Hakuna Kitu Kinacholipa na Kisicholipa”
“Anayelipa ni MTU anayefanya Hicho Kitu”
Hata wewe Ukijipa Muda na Kukomaa na Kitu KIMOJA kwa Muda Mrefu...Basi Kitakulipa pia”
Jipe MUDA