@kipepe123 Nilijikoroga shinyanga baada ya kuona hilo tangazo na nikaenda mpaka ofisin kwao wakaniambia nipeleke barua pamoja na passport nikafanya nikaambiwa kesho njoo uanze kazi,kufika kesho mapema nipo pale kuipigania 300000 kumbe ni betri za tochi ndio zinatakiwa kusambazwa