@VedastoR43137 @MariaSTsehai Ndio uone kwamba Maria ni mwanaharakati mzuri ,anajua kujitofautisha Maria mwanaharakati na media ambayo haitakiwi kufanya harakati zaidi ya kuleta taarifa kwa jamii
@Traderr2022@fbuyobe Kumbuka msingi wa hoja ni utekaji ,hizi risiti ni kama Buyoye anautafuta sehemu wanuke wote na Mshabaha ,ila haibadili kitu kuwa Mshabaha alitekwa kwa ramani iliyochongwa na alioanza kuwajua akiwemo Buyoye
@kajembe_jr@lueshi2019 Mbona maelezo ya dada Yapo wazi ,Msabaha hakua anajua kama msuya na Buyoye ni watu wabaya ,ndio maana aliwaamini hata kuranda nao usiku .Ubaya umejulikana baada ya kutekwa