@Oziko_Jo Yan wazaz wa kiafrika uwaambie unatak uwe muimbaj au mchoraj au dancer labda au useme tu unataka kusomea sound engineering kama hawatakuona punguu ni either uwe doctor au any official cooperate job hcho kipaj mpka waone hela hii hpa km vile marioo lbda
@Benji_Fernandes Endelea tu kudevelop nala services ,futball imekufanya uandike kma umekatwa kichwa ,nyie nan aliwakataza msishinde mech zenu mbona goli la croatia na colombia lilikataliw mbona hamkupiga kelele kama hv,kwahyo fifa walisema egypt aongoze goli mbili alf arudishiwe zote dkk 10
@_falsi1ke wasiposhinda wao wanaona wameonewa waarab hata huku CAF tunawaona , hao egypt hzo dakika 10 walishindwa nin kufunga magol mengin?,walikuw wanafany nin mpka kuanzia goli la kwanz mpk la mwish linaingia ,mbona kipind wanashinda hawakusem kitu ,wangeshinda wangesem hayo yote