Nasaha za Mzee wangu siku Moja kabla ya Harusi. Soma mpaka mwisho itakusaidia
Mwanangu Lusajo, unapoenda kuishi na mwenza wako, sio kila kitu cha kumfanyia surprise mke wako.
Surprise ni catalyst ya Mapenzi lakini pia shetani anaweza kutumia njia ya surprise kuua ndoa yako.
👇🏾
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa. Mheshimiwa Lowassa ameitumikia nchi yetu katika nafasi mbalimbali kwa zaidi ya miaka 35, akianzia ushiriki wake katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mbunge, Waziri katika wizara mbalimbali na Waziri Mkuu.
Tumempoteza kiongozi mahiri, aliyejituma na kujitoa kwa nchi yetu. Natoa pole kwa mjane, Mama Regina Lowassa, watoto (Mheshimiwa Mbunge wa Monduli, Fredrick Lowassa na wadogo zako), ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote kwa msiba huu mzito.
Katika mawasiliano yangu na familia, nimewaeleza kuwa kama taifa tuko pamoja nao katika kipindi hiki kigumu, na kamwe wasiache kumtegemea Mwenyezi Mungu na kutafakari neno lake, hasa Kitabu cha Ayubu 1:21.
Mwenyezi Mungu amweke mahali pema. Amina.
@nulphin@siadevinci@PMadeleka 🤣🤣🤣 @spana_Konki usalama wa diara kwanza mengine baadae mpaka sasa hatujapata updates kama usalama wa Golikipa upo ama laah kwenu studio 😁😁