@barakawamb Hivi wewe ulisoma wapi? Hv unajua GDP ya marekani ikoje? Sawa na yetu? Samia ana security threat gani nchini kwake? Kwanini atumia magari 100? Why not gari 10 hao wengine mnaosema wanamsindikiza kwanini wasipande costa kama nilazima wawepo?? Hatuna maji madawa still pesaichezewe