Ma’bloo zangu, natumaini mnaendelea vema na utekelezaji wa maazimio ya kikao chenu cha Serena Hotel.
Naomba kuuliza tu kwa heshima… zile salamu za kutoka Nairobi—zilishawafikia, au niwasogezee?
Nimeuliza tu, msije mkasema hatukuwauliza!😁
@thesourcetz@HecheJohn Ndo Maana Kasema Watu wakuhoji,WANAPOTEZWA.mama yake kutoka India kwa matibabu Siyo sababu BABA YAO ALIKUWA MFANYI BIASHARA na wanahela Siyo za wizi
@godbless_lema Wapo busy Vatican wanaomba kuombewa AMANI Kwa Pope huku ndani ya Nchi WAO Ndo chanzo Cha uvunjifu WA AMANI. Fikiria vile vilionmle bungeni ingekuwa ni Risasi,Watu wangapi wamekufa?????#samiasuluhuhassan
@TheRealJongwe Mu7 na Samuya wanaigana tabia.Wanadhani sifa.KUMBE wanajiharibia.Nahusi watamchosha baba WA Watu kama Yule WA Uganda ALIYE kizuizini.Aliingia Jela kijana ,Sasa amechoka Nani Mzee.Basi kama Uganda na Zanzibar wanapendana waunde umoja wao,watuachie Tanganyika yetu
@millardayo KUKEMEA kwetu sisi wakatoliki ni MATENDO YA HURUMA.....kuonya (kukemea)https://t.co/fkx1U2zdLX Ni sehemu ya Ukristo wetu SIYO DHAMBI.Mpaka Pope nae ANAKENEA pia
@Jambotv_ Huyu alikuwa Chadema Akawarekodi kina wafulani na Ile clip ilimfikia Magufuli Naona akampenda https://t.co/kxIerW8ini Sasa yupo huko So CHADEMA NI SHULE na tunauwezo WA kuongiza Nchi.Vijana WAMEPIKWA NA WASOMI