Israel under my leadership will continue to fight Iran’s terror regime and its proxies, unlike Erdogan who accommodates them and massacred his own Kurdish citizens.
@McinikaWaLamar@MarekaMalili Upumbavu mkubwa... boea angeteswa na familia au watoto. Zee pumbavu linaacha mkewe linaenda kukomeshwa na kiroro cha 2000. AIBU
Ubinafsi sio tu kutaka kila kitu kizuri kiwe chako peke yako lakini pia kukukubali wengine wateseke kwajili ya manufaa yako.
Hio ni level kubwa ya ubinafsi.
@EsirEid Ndugu yangu, Hawa wameshaweka gundu rasmi Simba SC, amini kwamba baada ya hawa watawala waovu kujihusisha na Simba inabidi Simba ifanyiwe maombi ya Utakaso kuondokana na huu unajisi.
“WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”…..!
Tusifike huku, huku ni mbali sana Ndg zangu, Tanzania ni ya watanzania wote ijengwe na watanzania wote…!
Tusibaguane kwa vyama wala kwa Dini zetu, Hii ni Nchi Nzuri tuliyopewa na Mungu Tuilinde, Tuipende, na Tuituze kwa manufaa mapana ya kizazi hiki na kizazi kichajo..!