Judge mmoja wa Uingereza Lord Denning kwenye kesi maarufu ya Metropolitan Properties Co (FGC) Ltd v Lannon 1969 alisema
"Justice must be rooted in confidence, and confidence is destroyed when right-minded people go away thinking: 'The judge was biased.'"
‼️🚨EMERGENCY ALERT‼️
The Pan African Solidarity Network, composed of legal defense networks, international and continental bar associations, human rights watchdogs, civil society actors, and human rights defenders world-wide, issue this alert on the systematic, physical destruction of Dr. Kizza Besigye and his legal counsel by the regime of Yower Museven and Chief of Defence Forces, General Muhoozi Kainerugaba.
#SaveKizzaBesigye #SaveEriasLukwago #FreeAllPoliticalPrisonersUg
@mshambuliaji Ili iweje? Ili iwe nafuu kwao kunyanyasa na kuua raia wao bila jamii ya kimatataifa kujua? Kwani mbona hii habari ni kama umeifurahia sana???
Kama unampenda Mhe. Lissu na unachukizwa na kitendo cha Nduli Idd Amin Mama kuendelea kumshikilia Mhe. Lissu gerezani kwa kesi ya mchongo ya uhaini.
Basi tukutane barabarani Julai 7 #77Tunatoka
Katika kitu raia wa Tanganyika wameizidi dola ni fikra, upembuzi na maarifa. Raia wanajua mengi kuliko watawala. Kitu pekee dola imebaki nayo ni ukatili. Lazima dola libadilike kwani raia wa 2024 sio wale wa 1960s. Vinginevyo ni mapambano kila kukicha, kazi za maendeleo zinadumaa
na hili la SOKA Tunamuachia MUNGU!?... #FreeDeusdedithSoka Msimwage Damu ya Kijana asiekua na Hatia, Zipo njia nyiingi za Kumrekebisha But sio Kumwaga Damu yake...
Mh. Rais @SuluhuSamia Naamini neno lako lina Nguvu Kubwa sana Nchi Hii na Pia lina Faraja,
Toa neno Nchi ipone 🙏
Muachieni Deusdedith Soka na wenzake haraka. Taswira ya nchi inachafuka kwa mambo ya kijinga. Polis na usalama mnaye Deusdedith na baada ya kumkamata mlimpeka nje ya mko wa Dar. Hili la Deus linaenda kumchafua Rais sana. #TanzaniaLeaks
CCM sio kichaka wala pango la wanyang’anyi. Viongozi wala rushwa na wezi ndani ya CCM sintocheka na nyie na nitawataja na kuendelea kuwasema hadharani daima. Bora nifukuzwe kabisa kuliko kukalia kimya rushwa na ufisadi unaofanywa kwa wachache na kuumiza mamilioni ya Watanzania.