Ndugu Mike toka @sahringontz "kunahaja ya kuwekeza nguvu na utendaji zaidi kuboresha zaidi na kuwafikia wengi zaidi"
@jmkfhq@sostanzania @actionforchange_ https://t.co/WwJd9nC0tQ
Afsa maendeleo ya Jamii wilaya ya kibiti @kibitidc akitoa wito wa mashirika kufika wilayani hapo kuwekeza katika kutoa elimu jamii.
@jmkfhq@sostanzania https://t.co/4FyJ6YuUmt
Ndugu Henry Kazula mkurugenzi toka @jielimishekwanza "Hii ni fursa kwa wote, tutumie fursa na nafasi zilizopo bila kujiweka nyuma na kuogopa uchanga wa taasisi"
@afrigirlsinitiative @jmkfhq @juliethsewava @sostanzania https://t.co/REX01iS00j
Asante sana @dottanzania
Reposted from @dottanzania#dotyouth Kibiti mmeitendea haki 💃🏾🕺💃🏾🕺🔥🔥🔥💚
Shukran @tzcoalition_againstchildlabour 🙌🏾 https://t.co/um7ikldY0P
Binti Fahari toka @fahari_tuamke_maendeleo akizungumza machache mbele ya mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani yaliyofanyika wilayani kibiti https://t.co/IhJl1smtHY