@LIONBWAY@moses_baka34258@mangekimambi Kwahiyo unaona Sawa kutopigia kelele utekaji, haki, uuaji, democracy, ufisadi, and evils of your fckn government kwa kisingizio cha amani?
@OswardMussa@mangekimambi Ila kuwa chawa kazi sana aisรฉe, tuanzie na "vyombo vya uhakika ni vipi mkuu? Na je unaamini watu waliouawa au la! Na kama waliouawa chombo kipi unachoita cha uhakika kiliripoti kukiri mauaji hayo? Kama hakuna basi Wacha wananchi tuamini unavyoviita vya mitandaoni maana wengine..