Unfortunately, life doesn’t pause for you to heal. Life doesn’t wait for you to be okay. Rise up, pray, and keep moving—your faith and courage will guide you through.
@Jaglionpanthera@mangekimambi@StateDept@realDonaldTrump Linashindwa na Genz wanwapelekesha, hadi hapo mshindi ni nani?? Huna akili wewe. Kama wanajiamini kwanini wamewazuia watu kutoka nje? Ina maana kila Genz wakitangaza maandamano lazima serikali yako ijambe jambe sasa hapo jinamizi ni nani?😂😂😂 hee
@kayungira@HumoudMass74519@MariaSTsehai@Sativa255 Kama unatoka we toka, usiseme unataka kutoka na nani. Na kama unabaki ndani we lala coz mwisho wa sku tunaoteseka na maisha magumu matozo yasiyoeleweka ni sisi, na sio hao unaowasema bro, kwanza ilibidi tushukuru coz wanatusaidia kupaza sauti,ww mwnyw unajua ukiwa bongo unatekwa