Naitwa Bugati,,Msemaji wa Mabingwa mara nyingi zaidi Tanzania.
Yes Media Officer wa Soka Sometimes lazima ufanane kimavazi na mchezo wenyewe ,Sio kila wakati Mijampa na Misuti kama Daktari wa Mifugo wa kule Kiswampa.
@gsmmalls
Huyu Mtoto mchanga anawapa pole wote wanaoumizwa na hizi mbeleko za hovyo hovyo na anawasubiri Wachambuzi Chupli Chupli na wa michongo kuona watasemaje ?
Anawatakia pia Usiku mwema Wananchi wenzake.
Ni Swali La Kiwehu Bt Nataka Learn Kitu, Hivi Ukichukua Watoto Wadogo Wawili (Kike & Kiume) Wa 3yrs Ukawaweka Sehemu Kama Jangwani Pasipo Na Binadamu Yoyote Wa Kumuona Wala Chochote Cha Kutazama, Bt Wapate Access Ya Chakula! Je Ipo Siku Hawa Watoto Wakikua Watashiriki Amri Ya 6?
Msemaji wa Mabingwa wa msimu wa 2021/2022 NBC premier league (Ruvu shooting🔥) Masau Bwire amechaguliwa kushindania tuzo ya mhamasishaji bora msimu wa 2020/21 zinazotolewa na TFF.
Msimu huu tunaanza kukusanya tuzo alafu makombe yanafuata yaani🙏