Wanangu wa kubeti leo ni Jumamos siku yetu ya bahati kama una mkeka wako wa leo tupe code kwenye vommwnt apo fasta fasta msisahau TRENI letu linaanza leo mchana litafika dasilamu kesho usiku
📍 Karatu, Arusha
▪️UTAFITI MIAMBA BONDE LA EYASI WEMBERE WATHIBITISHA UWEZEKANO WA UPATIKANAJI MAFUTA
▪️Dkt Mataragio akagua shughuli za utafiti na kutoa maelekezo kwa TPDC/AGS
▪️Awamu ya pili ya utafiti kukamilika Aprili 2026.
▪️Asilimia 90 ya wanaotekeleza mradi ni watanzania
Utafiti unaofanyika katika mradi wa kimkakati wa Eyasi Wembere unaolenga kutafuta mafuta na gesi katika bonde la ufa la Afrika Mashariki umeonesha matumaini makubwa ya kupatikana kwa Mafuta na Gesi katika bonde hilo.
Hayo yamebainika wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo mkoani Arusha wilaya ya Karatu
“Kazi za utafiti wa mradi huu zimeanza mwaka 2015, tumekuwa tukikusanya data mbalimbali zinazohusiana na uwepo wa mafuta na gesi ambapo baada ya ukusanyaji, data hizo zilitumika kubainisha miamba tabaka ambayo ina mafuta na tukajiridhisha kwamba katika eneo hili la bonde ipo miamba ambayo inaweza ikahifadhi mafuta”.Amesema Dkt. Mataragio.
Dkt. Mataragio ameeleza kuwa, data za awali za utafiti zilizoanza 2015 kwa njia ya ndege na uchorongaji visima vifupi ambpo ziligharimu takribani shilingi bilioni nane.
Aliendelea kufafanua kuwa data za awamu ya kwanza kwa njia ya mitetemo zenye urefu wa kilometa 260 ziligharimu takribani shilingi bilioni 10.
Aidha, shughuli za utafiti katika awamu ya pili zitahusisha eneo la kilomita 914 zitagharimu shillingi bilioni 43 ambapo kilomita 430 ndio zimekamilika sawa na asilimia 47.
Akizungumzia faida zitakazopatikana nchi ikipata mafuta kutoka eneo hilo ni pamoja na uhakika wa uwepo wa mafuta na kupunguza gharama za ununuaji wa mafuta nje ya nchi.
“Tutaweza pia kutunza akiba ya fedha za kigeni ambazo zinatumika kwa ajili ya kuagiza mafuta nje ya Nchi”. Ameongeza Dkt. Mataragio
Katika hatua nyingine, Dkt. Mataragio amesema kuwa kutoka kuanza kwa mradi mwaka 2015 takribani asilimia 90 ya wanaotekeleza mradi ni watanzania.
Baada ya ukaguzi wa mradi huo, Dkt. Mataragio ameliagiza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) pamoja na Mkandarasi kampuni ya AGS kuhakikisha kuwa wanakamilisha mradi kabla ya mwezi Aprili na kazi ziendelee hata kipindi cha mvua.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Utafutaji Uendelezaji na uzalishaji Mafuta na Gesi kutoka TPDC, Mjiolojia Paschal Njiko amesema TPDC inafanya utafiti katika bonde hilo kwa kushirikiana na Mkandarasi mzawa kampuni ya African Geographical Services (AGS).
Njiko amesema TPDC imepokea maagizo yaliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu na itahakikisha inamsimamia Mkandarasi ili kuhakikisha utafiti wa awamu ya pili unakamilika kwa wakati.
Naye, Mwenyekiti wa kampuni ya AGS ambayo ni Mkandarasi anayesimamia utafiti katika Bonde la Eyasi Wembere, Salum Haji amesema wanatambua unuhimu wa mradi huo kwa kwa taifa hivyo watahakikisha utafiti unakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa.
Kwa upande wake, mmoja wa wanufaika wa mradi wa Bonde la Eyasi Wembere, Biru Benjamini amesema "kupitia mradi huu sisi vijana tuliokuwa mtaani tumenufaika na ajira na pia kupata ujuzi."
Kulala Na Wanawake Wengi Au Kufanya Mapenzi Muda Mrefu Huo Sio Ulijali Wa Mwanaume Huo ni Uvulana.
Ulijali Wa Mwanaume Ni Kupambana Kufikia Malengo Yake Na Kutimiza Ndoto Zake Mwenyewe.
"Chuki ni mzigo mkubwa unaomtesa aliyeubeba kushinda aliyelengwa na chuki yenyewe.Upendo ni mwepesi kwa aliyeubeba na mzito kwa aliyelengwa." ~Togolani Mavura.
"Tungependa kwenye neema tuwe peke yetu tuwakoge wenzetu lakini tungependa kwenye dhiki tuwe wengi ili tugawane maumivu. Hii ndio HUSDA." ~Togolani Mavura.
The East African Crude Oil Pipeline Project (EACOP) is a pipeline that will transport oil produced from Uganda’s Lake Albert oilfields to the port of Tanga in Tanzania where the oil will then be sold onwards to world marketsThe East African Crude Oil Pipeline Project (EACOP) is a pipeline that will transport oil produced from Uganda’s Lake Albert oilfields to the port of Tanga in Tanzania where the oil will then be sold onwards to world marketsThe East African Crude Oil Pipeline Project (EACOP) is a pipeline that will transport oil produced from Uganda’s Lake Albert oilfields to the port of Tanga in Tanzania where the oil will then be sold onwards to world marketsThe East African Crude Oil Pipeline Project (EACOP) is a pipeline that will transport oil produced from Uganda’s Lake Albert oilfields to the port of Tanga in Tanzania where the oil will then be sold onwards to world marketsThe East African Crude Oil Pipeline Project (EACOP) is a pipeline that will transport oil produced from Uganda’s Lake Albert oilfields to the port of Tanga in Tanzania where the oil will then be sold onwards to world marketsThe East African Crude Oil Pipeline Project (EACOP) is a pipeline that will transport oil produced from Uganda’s Lake Albert oilfields to the port of Tanga in Tanzania where the oil will then be sold onwards to world markets.
EACOP proudly announces the successful testing of the first Integrated E-House MLBV at the Nyanza Road EITS Yard.
READ MORE: https://t.co/k5JfACAViv
#EACOP
Kabla ya Captain Ibrahim Traoré, Alikuwepo Captain Thomas Sankara, Shujaa Aliyegeuka Alama ya Mapinduzi Afrika.
Thomas Sankara, mwanamapinduzi na rais wa Burkina Faso kati ya mwaka 1983 na 1987, alikuwa zaidi ya kiongozi wa kawaida.
Alikuwa sauti ya matumaini kwa Waafrika waliokuwa wakihangaika na mizigo ya ukoloni mamboleo na ubeberu wa mataifa ya Magharibi.
Sankara, ambaye mara nyingi huitwa "Che Guevara wa Afrika," aliongoza nchi yake kwa miaka minne tu, lakini athari zake zimeendelea kuishi kwa vizazi hadi leo.
Katika kipindi kifupi cha uongozi wake, Sankara aliwapa watu wa Burkina Faso maono ya nchi huru, inayojitegemea, na yenye ustawi.
Sankara aliamini kuwa elimu ni ufunguo wa maendeleo. Katika kipindi chake, aliweka juhudi kubwa kuhakikisha kuwa watoto wa Burkina Faso wanapata elimu bora.
Alifanikiwa kuongeza kiwango cha wanafunzi mashuleni kwa asilimia 6, juhudi ambazo zilikuwa ngumu kwa nchi masikini yenye rasilimali chache.