Mandhari ya Barabara ya Shekilango km 3.7 iliyojengwa kwa njia 4,upana mita 22,njia za watembea kwa miguu, taa za kisasa, mitaro ya maji na Bustani ili kupunguza msongamano wa magari kuanzia maungio ya Barabara ya Morogoro na kupitia mitaa ya Sinza mpaka maungio ya Barabara ya๐
Ndugu @MagufuliJP kama huwezi kwenda India kufanyiwa matibabu basi KAA NA MAVI YAKO NYUMBANI! kama wewe unavyotujibu na sisi tunakupa hivyo hivyo. ๐
Thank you my President @MagufuliJP for the immeasurable efforts in ensuring the best for our beloved country amidst deliberate sabotage tendencies which I am sure you always overcome.
You are wonderful President, more prosperity ,health and long life we wish you!
Katika taifa hili hawa wasimbe Fatma na Maria watakuwa ni watu wa mwisho mimi kuwasikiliza.
Wazee wao walikuwa na nyadhifa kubwa lakini hakuna cha maana walichokifanya cha kukumbukwa.
Nani amesahau ukatili wa kutisha alioufanya Zanzibar mwaka 2001! na wala hatukumuombea kifo.
@Obelsenior @NkonyaMaduhu @robyn_fabs @MwanaMorogoro Huyu Mmari na tumbo lake ni upepo tu kakaa kimbeambea...huyu si ndo aliwapa change Tanzania tuzo sijui ya nini ya mwaka๐ฎ๐ฎ๐ฎ
*MUNGU ANAIUMBUA SEKTA YA HABARI; JPM ANA MUNGU*
Robinson Charles, Dar es Salaam
Vyombo vya habari hasa vya Kenya na BBC ya Uingerea na wale wazushi wa mitandaoni wanapitia wakati mgumu sana, wanasema wahenga njia ya mwongo ni fupi sana.
Kinachoweza kuitwa uzushi wa ugonjwa wa
Ivi mnamtakia Nini Mhe rais wetu @MagufuliJP mtamsemea Huu uzushi mpaka lini? Rais wetu anaendelea kuchapa kazi nyie endeleeni na umbea wenu hili taifa halitaanguka kwa upuuzi wenu wa mitandaoni mkae mkijua hilo
Chadema walipinga kabisa Dr Mpango kujitokeza hadharan kukanusha uzushi wao waliomsingizia alipokuwa kalazwa,sasa kitu gani kilichomfanya John Mrema kujitokeza na kusema yeye hajafa!Chadema watueleze kwanin wamemruhusu Mrema kukanusha wakati walipinga jambo kama hilo kwa Mpango?
Ni takribani miaka 24 toka ulipotutoka January 10, 1997 kwa kifo cha kupigwa risasi.Tutazidi kukuweka katika maombi yetu daima Profesa Nicas Mahinda.Mungu aendelee kuiweka mahali pema roho yako peponi.
Ipo tofauti ya kuwa tajiri na kujaaliwa rasilimali nyingi, rasilimali ndizo zinazozalisha matajiri hivyo umaskini wetu kiuchumi usitufanye tukajiona ni maskini wa rasilimal zetu....tuna kiburi Cha rasilimali wao Wana wivu na rasilimali zetu...TUPO VITANI.
Hivi ni nani atakaetaka kupigana na Tanzania kiuchumi! @MagufuliJP unajipiga vita mwenyewe alafu unaanza kuhisi unapigwa vita vya kiuchumi, ni nani atakaepoteza mda wake kwaajili ya kupambana na taifa ambalo tayali ni maskini? Kaa na uyatafakari matendo yako ndipo utapata jibu ๐