MARCH: Teachers are going above and beyond.
APRIL: Teachers are heroes and deserve our support.
MAY: Teachers should be millionaires.
JUNE: We need to cut school budgets.
JULY: Teachers need to go back to school.
AUGUST: Teachers are selfish and donโt care.
Sasa ni DHAHIRI kuwa #Tanzania hakuna UHURU wa Vyombo vya Habari. Vyombo vingi vya habari vinafanya kazi kwa HOFU. Huu ni UMINYWAJI mkubwa wa DEMOKRASIA. Tunasikitika pamoja Rais @MagufuliJP kuahidi Uchaguzi huru na haki lakini bado hakuna uhuru na usawa kwa Vyama vya Upinzani.
Vijana wa Tanzania hamkuandika #JusticeForBulaya Wala #JusticeForMdee waliposhambuliwa na kupigwa vibaya na Askari wa magereza.
Leo mnadandia Vya marekani na kushikilia, acheni upumbavu amkeni usingizini, Kama Ni mapambano yaanzie huku kwetu kwanza.