@innobash @SuluhuSamia hii shule tangu 2010 wananchi hatujaambiwa hatima yake ipo GEZAULOLE Kigamboni
mh waziri hii shule imejengwa kwa nguvu na michango ya wananchi.
@fatma_karume Mwambie mkurugenzi wa manspal ya Kigamboni atukabidhi eneo letu la shule mtaa wa MWERA.
Hatuna shule mpaka sasa,eneo hili limetengwa tangu 2010 tukiwa bado Manspal ya Temeke kukabidhiwa imekuwa nongwa
@DanielGChongolo amina,mh sisi wananchi wa MWERA GEZAULOLE tangu mwaka 2010 tulitengewa eneo la shule na manspal ya Temeke kwa ajili ya ujenzi wa shule mpaka leo hatujakabidhiwa na shule hatuna.
@Nnauye_Nape hayo makundi Mbarawa yumo,mtu pekee aliekuona unafaa uwaziri ni JPM tu bahati mbaya haukuliona kwa mama utasifu sana hawezi kukupa uwaziri