TAARIFA MBAYA
Huyu kwenye picha anaitwa
Issa Hamisi ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kata ya Ikungi
Jana jioni mida ya saa 12 Issa Hamisi ambaye ni fundi uchomeleaji wa madirisha(grill) alipigiwa simu na watu waliojitambulisha kuwa ni wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi na kumuita akafanye vipimo vya madirisha halmashauri hapo na ndipo akamuomba jirani yake aitwae Paul Veslas kumpeleka eneo hilo kwa pikipiki yake,
Baada ya kufika Halmashauri walikuta land cruiser nyeupe ambayo ilikuwa imepaki eneo hilo ndipo walishuka watu watano wakiwa na silaha wakaanza kumvuta kwa nguvu Hamisi na Paul, walipiga kelele sana lakini hawakuweza kusaidika mwisho watekaji walifanikiwa kuwateka wote wawili na kuondoka nao pamoja na pikipiki yao.
Ndugu zake wamefika kituo cha Polisi Ikungi lakin wameambiwa kwamba hawapo kituoni hapo mpaka sasa hawajui wamepelekwa wapi.
#FreeIssaHamisi #FreePaulVeslas
π₯#Dodoma Makulu #Tanzania
Gen Z wanasema #OktobaTunatoka hawana shaka
Jamani mwaka 2025 hii watanzania wa sasa si wa 1995
Naona kila kona wanazidi kuamka vijana
#TutaelewanaTu hakuna namna!
πNimeandika kitabu juu ya siasa, falsafa, na uongozi. Chenye simulizi yenye matukio hai kama urithi bora kwa kizazi hiki na kijacho cha Afrika. Natafuta mshirika/msaada katika uzalishaji na uuzaji wa kitabu hiki.
Kwa aliye na utayari
0743506036.
Shujaa Evarist
@MariaSTsehai
#UPDATES
Muda huu saa sita mchana.
Polisi wawili wa kike wameingia ndani kwa @BrendaRupia wakiwa na Mjumbe wa mtaa.
Brenda ameomba wamruhusu ampigie simu Wakili wake ili aje asimamie zoezi la upekuzi, Polisi wamekataa badala yake wamewafukuza ndugu wa Brenda nyumbani kwake.
#Updates
Muda huu Polisi wamefika Nyumban kwa @BrendaRupia Dar es salaam wakiwa naye na magari ya Polisi matatu
Wanasema wamekuja kwa ajili ya kufanya upekuzi hivi Uchochezi unahusiana vipi na kupekua nyumba ya mtu au Polisi mnadhan nyumban kwa Brenda kuna kiwanda cha Uchochez?