#Pichani
Anaitwa Nyamoko Zegera Nyamoko (37) Mkazi wa Mwanza(Kisesa) ni Baba wa Watoto Wanne.
Mnamo Aprili 6, 2026 usiku akiwa Mwanza, alitekwa na watu wenye silaha za moto akiwa maeneo ya Machinjioni wakati akitoka Maeneo ya Mhandu kuwasindikiza Wajomba zake.
Watekaji walimchukua yeye Pamoja na Gari lake kisha wakatokomea kusikojulikana.
Familia yake walizungunguka vituo vyote vya Polisi lakin hawakufanikiwa kumpata, badae ilibidi wafungue jalada la Uchunguzi Central Mwanza.
Familia inasema kwamba Wiki nne baada ya kutekwa mpendwa wao (Nyamoko) walipewa taarifa kuwa Gari lake limekutwa limetelekezwa maeneo ya Nyasaka Jijini Mwanza lakin mpaka leo hakuna majibu yoyote ya Report ya Polisi kuhusu Uchunguzi wa tukio hili.
#FreeNyamokoZegera
Ripoti ya CNN imethibitisha kwa ushahidi uliosheheni POLISI WAKIUA WATU.
Ripoti ya CNN kupitia Satelite imeonyesha maeneo ambayo yanazaniwa kuwa kutakuwa na makaburi ya HARAIKI ya ndugu zetu.
Ripoti ya CNN imesema maelfu ya WATANZANIA wameuliwa nchi ikiwa GIZANI.
Kiufupi ripoti imekaba kila kona. Kazi yetu sisi watanzania ni kuhakikisha VIDEO NA RIPO YA CNN inaenda MBALI ZAIDI.
Siku ya leo sina kazi yeyote zaidi ya KUSAMBAZA RIPOTI HIYO KILA CHOCHO. KAZI YENU NI KUREPOST ITEMBEEE.
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵😎
Huyu anaitwa Shababi Nsato Marijani.
Ni mtoto wa Afande Nsato Marijani.
Yeye na taasisi yake ya Uwakili inayoitwa Hyperion ndo inayotumika kwenye kesi ya mgawanyo wa mali za CHADEMA.
Na sasa Taasisi hiyo hiyo ndo imetumika kutufungulia kesi ya kuidharau Mahakama ikiwa na lengo la kutufunga mimi, Mhe. @HecheJohn, @jjmnyika na Viongozi wengine wanne.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 94
Mhe. Lissu: Ulienda kumuona saa nne na ulipomaliza ni saa nne hiyo hiyo? Sasa uliwezaje?
Kaaya: Lisaa lina dakika 60 kwahiyo kwenye hiyo mida ya saa nne ndio nilimaliza hayo yote.
Mhe. Lissu: ulipofika kwa SSP George ulimueleza ulichoona kwenye mtandao wa YouTube.
Kaaya: Ni sahihi nilimuonensha kwa simu yangu.
Mhe. Lissu: na ni kweli ulimuonesha baadhi ya vipande vilivyokuwa na viashiria vya jinai na ulimuonesha vipande vipande?
Kaaya: Ni sahihi.
Mhe. Lissu: Je hayo maelezo yapo kwenye maelezo yako ya Polisi?
Kaaya: haupo.
Mhe. Lissu: ni kweli ulisema ulimuonesha video ukisoma maelezo yako ya polisi na hujafafanua kama ulimuonesha vipande au laaa?
Kaaya: sikuandika kama nimemuonensha.
Mhe. Lissu: ulieleza pia hapa mahakamani kwamba wakati unamuonesha SSP George hiyo video clip na yeye alichukua police notebook yake na kujaza taarifa anazoona?
Kaaya: Ni kweli.
Mhe. Lissu: Je hayo kuhusu afande George kama yapo kwenye maelezo yako Polisi wambie majaji?
Kaaya: Hayapo.
Mhe. Lissu: Umewahi kuhudhuria Shule ya Msingi?
Kaaya: 1989 hadi 1995 nilisoma Nganyeni na Ryakilimu huko Marangu. Primary School.
Mhe. Lissu: Je sekondari umewahi soma?
Kaaya: Nimeanza mwaka 1996 na kuhitimu 1999 shule ya sekondari Lyakilimu.
Mhe. Lissu: Ni sahihi nikisema ulimaliza form four hapo?
Kaaya: Sahihi.
Mhe. Lissu: Ulipata division ngapi?
Amesimama Wakili wa Serikali kuwa anapinga swali la kumuuliza shahidi ufaulu wake. Kifungu cha 167 cha sheria ya ushahidi kinasema jambo hilo sio relevant kabisa. Kikubwa amemaliza shule mengine ni siri ya shahidi.
Anasimama Katuga nae anasema swali hilo linalenga kutaka nini? Section 164 inasema kwanini maswali ya namna hii yanaulizwa. Tukiacha hili ataulizwa una wake wangapi?
Mhe. Lissu: anasimama kuwajibu. Waheshimiwa Majaji mimi siulizi swali bila sababu ya kiushahidi.
Suala la Elimu ya shahidi limejitokeza sana katika examination in Chief. Wameeleza vyuo alivyopitia, Moshi na Zanzibar. Wameeleza extensively, Wangetaka tusiyajue wasingeyaanzisha, wameanzisha wavumilie.
Swala la academic qualification linahusu namna gani maafisa wa polisi wanaajiriwa. O.54(1) ya PGO inahusu namna wanavyoajiriwa. Anaisoma hapa. Kama alipata zero alipaswa kuwa police officer huyu?
PGO pia inasema PGO 53(10) on promotions on Inspectorate shall normally be to personnel with the following qualifications including form four qualifications.
Was he fit to be promoted to Inspectorate?kama alipata zero ajibu tu, haya mambo waliyaleta wenyewe. Wavumilie sasa muda huu.
Mbona nimeuliza ya shule ya Msingi hamjasema kitu. Mmeanza kulalamika nilipofika kwenye form four? Mmeyataka: Mtapata.
Anasimama Katuga: Tumesikia Majibu ya Mshitakiwa hajaelewa pingamizi letu. Hatujapinga, Elimu yake ya shule ya msingi. Suala la Division sio relevant kabisa.
Na PGO haijasema apate division ngapi?
Imezungumzia elimu kwa ujumla. Kwanza ufaulu wa form four ni kuanzia Division one, two, three na Four. Hizo zote ni ufaulu.
Anasimama Job Mrema kwanza niseme naunga mkono yote yaliyosemwa na Katuga. Mshitakiwa alikuwa anazungumzia credibility ya shahidi.
Job Mrema anazungumza mambo mapya. Lissu anaweka pingamizi jaji anasema jiongoze vizuri Mrema.
Job Mrema amekaa chini ghafla watu wamecheka. Hajaeleweka hata alikuwa anataka kusema nini?
Jaji: Mahakama imewasikiliza na kuona muishie hapo tu, msiende kwenye alipata nini?
Mhe. Lissu: Je ulisoma kidato cha tano na sita?
Kaaya: Sikusoma.
Mhe. Lissu: Waeleze majaji kama una advanced Diploma ya kitu chochote?
Kaaya: Ninayo.
Mhe. Lissu: Ya nini?
Kaaya: Refrigeration na air condition advanced diploma. Nilisoma Nairobi.
Mhe. Lissu: Umesoma maswala ya Mafriji chuo gani?
Kaaya: Waheshimiwa Majaji naomba mahakama hii isiwe chombo cha kutoa taarifa za mashahidi na isiwe nia ya kudhalilisha.
Watu : 😀😀😀😀
Part 95 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba Repost yako.

Tunaandamana si Kwa sababu Sisi ni majeuri! Tunaandamana si Kwa sababu hatuna cha kufanya wakati huo! Tunaandamana sio kwasababu Sisi ni wapinzani, Bali tunaandamana sababu Sisi ni Vijana watanzania tunao umizwa na udhalimu wao na ulanguzi wao katika vyumba vya ofisi za Umma.
Nimepokea simu kutoka kwa mdogo wake Chifu Kalumna ambae ni Mwenyekiti wetu wa wilaya ha Bukoba mjini.
Anasema polisi wakiwa na silaha za moto na magari mawili, wamevamia nyumbani kwa Chifu mda huu na kuondoka nae bila kumwambia wanamhitaji kituo cha polisi bila sababu yoyote kutolewa.
Watu wetu wanafuatilia kujua wanampeleka wapi.
Taarifa hizi za Polepole zisitushtue - alishasema ye haogopi na ametimiza wajibu
Swali wewe je! Umeamua kuwa mpenzi mtazamaji na shabiki tu? Ama?
Kama kuna mtu anategema CCM wanamtandao wataachia nchi kwa busara wamekosea
Wako tayari kuua wengi kubaki madarakani na kufuja rasilimali!
#WenyeNchiWananchi wakisubiri mtu mmoja mmoja awasemee au awakomboe wajue miaka 50 itapita na tutazidi kutawaliwa
Hata jeshi haitaingilia itakuwa fully captured!
Leo mmeona Mafwele kaamka na jeuri kaenda kuwapiga na kuwazuia Chadema? Sasa kifuatacho kitakuwa worse because they got away with it!
Ila #TutaelewanaTu
Huyu ni Mwenyekiti wa Bavicha Jimbo la Ikungi Mashariki. Majina yake ni Evarest James Ramadhani juzi tarehe 03.10.2025 saa moja jioni.
Alipigiwa simu na namba ngeni kuna mtu alimuita njee, akatoka ili amsikilize tangu hapo hakurudi tena hadi muda huu.
Jana asubuhi ya tarehe 04.10 mke na viongozi wa chama (Katibu wa Jimbo) walienda polisi kutoa taarifa na jioni yake walirudi polisi, Polisi wakasema hawajui chochote.
#FreeEvarestJames
TAARIFA MBAYA
Huyu kwenye picha anaitwa
Issa Hamisi ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kata ya Ikungi
Jana jioni mida ya saa 12 Issa Hamisi ambaye ni fundi uchomeleaji wa madirisha(grill) alipigiwa simu na watu waliojitambulisha kuwa ni wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi na kumuita akafanye vipimo vya madirisha halmashauri hapo na ndipo akamuomba jirani yake aitwae Paul Veslas kumpeleka eneo hilo kwa pikipiki yake,
Baada ya kufika Halmashauri walikuta land cruiser nyeupe ambayo ilikuwa imepaki eneo hilo ndipo walishuka watu watano wakiwa na silaha wakaanza kumvuta kwa nguvu Hamisi na Paul, walipiga kelele sana lakini hawakuweza kusaidika mwisho watekaji walifanikiwa kuwateka wote wawili na kuondoka nao pamoja na pikipiki yao.
Ndugu zake wamefika kituo cha Polisi Ikungi lakin wameambiwa kwamba hawapo kituoni hapo mpaka sasa hawajui wamepelekwa wapi.
#FreeIssaHamisi #FreePaulVeslas
🔥#Dodoma Makulu #Tanzania
Gen Z wanasema #OktobaTunatoka hawana shaka
Jamani mwaka 2025 hii watanzania wa sasa si wa 1995
Naona kila kona wanazidi kuamka vijana
#TutaelewanaTu hakuna namna!
TAARIFA KUHUSU WAPIGANAJI WENZETU AMBAO WAPO CENTRAL
Jana Mafwele alisema kwamba Frida na Kiduku wataachiwa leo kwa dhamana baada ya kukamlisha Uchunguzi wao lakin leo Familia zimeenda wakiwa na Mawakili wa Chama wakiwa na barua kwa ajili ya kuwadhamini lakin cha kusikitisha ni kwamba Mafwele amekataa kuwapa dhamana badala yake anasema kwamba Jeshi la Polisi litawafikisha Mahakamani siku ya Alhamisi.
Naomba tuendelee kupaza sauti kuhusu ndugu zetu, ukimya wetu ndo unafanya hawa watu wanaendelea kuwatesa ndugu zetu bila kuwajazia nzii mnaweza shangaa wenzetu wakakaa lock up mpaka Oktoba 29 ipite maana sasa wametarget watu ambao wanahamasisha Maandamano.
#FreeKiduku #FreeFridaMikoroti #FreeIzack
‼️ EXTRAJUDICIAL KILLING IN #Tanzania‼️
Young men killed in police custody after local government officials accused them of theft and beat them mercilessly! They were taken to the police! Autopsy shos Omary died of sharp object piercing his head
This is murder and @tanpol should not cover up cc @UNHumanRights@AmnestyEARO@HRF@hrw
We want #JusticeForOmari
Ila nyie polisi roho imeniuma sana!
Mmewaua vijana kwa kushirikiana na viongozi wa serikali za mitaa!
Someni kisa hapo
Kisa kimetokea mkoa wa mwanza, wilaya ya Nyamagana, kata ya Mahina, mtaa wa Igelegele
Kijana aitwaye Omari na Rafiki yake wameuwawa.kijana Omari alifungua duka la kuuza vitu vidogo vidogo akaamua kuwa analala dukani kulinda biashara yake,alipokuwa amepanga alimwachia Rafiki yake .
Siku ya ijumaa tarehe 26/9/2025 majira ya mchana kijana Omari Hamisi alikuwa dukani kwake alifuatwa na Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Igelegele aitwaye Ally na mgambo wakimweleza anatakiwa ofisini maana anaishi na mwizi. Kijana huyo aliongozana na mama yake baada ya kufika ofisini aliambiwa anatakiwa kutoa faini ya sh.40000/= elfu arobaini ili aweze kuachiwa kijana alijaribu kujitetea anapungufu sh.20000/= Mwenyekiti alikataa.
Alikujiokoa kijana alihesabu hela akampa mama yake akawapa elfu arobaini kijana alirudi kwenye duka lake akaendelea kuuza. Majira ya saa Moja usiku Kijana alifuatwa dukani Tena na kumchukua wakiwa na Rafiki yake waliingia ndani ya nyumba ya kijana huyo bila polisi wakachukua vitu vilivyokuwa humo kwenye nyumba na vifaa mbalimbali wakaondoka na vijana hao kwa madai wanawapeleka Ofisini.
Ofisi hawa kupita wakawapeleka mbali na ofisi waliwapiga sana. Wananchi walimtetea sana Baada ya hapo waliitwa polisi na kuwachukua kijana Omari alikuwa anatembea mwenyewe na kuingia kwenye gari wakaondoka nao. Siku ya Jumamosi asubuhi mama mzazi wa kijana Omari alienda polisi kufuatilia kijana wake akaambiwa walipelekwa Bugando hospitali ikaibidi waende wakaambiliwa wamesha fariki.
Baada ya hapo walirudisha taarifa kwa baba mzazi wa kijana Omari akachanganyikiwa,baadaye alipata wasamalia wema wakamwambia asichanganyikiwe hakuna kuzika mpaka wajue chanzo Cha kifo Cha kijana wao. Siku ya Jumapili majira ya saa Tano familia na baadhi ya wadau walifika kituo Cha polisi na Kukutana na Mkuu wa kituo ambaye pia alikuwa na kaimu OCD , Kituo Cha polisi Nyakato Mwanza Kaimu Ocd anaitwa Kombe.
Wakatoa maelezo baada ya hapo walikubaliana mwili wa marehemu ufanyiwe uchunguzi,Leo Jumatatu familia imeenda kushiriki uchunguzi huo katika utambuzi wa awali kijana Omari alichoma na kitu chenye ncha Kali pembezoni mwa sikio ikaingia ndani.
Madakitari waliwaeleza familia sasa wanaweza kuzika,familia imekataa haitapokea mwili wa Marehemu Omari mpaka hapo wahusika watakapo kamatwa.