Watekaji, wahurumie wazazi wetu.
Namshukuru Mungu hadi sasa nimebarikiwa kuwa na watoto watatu. ELON, LIAM na FREEMAN. 24/04/2026 nikapoteza mtoto mmoja wa kiume, mama yake akiwa anajifungua. Nilipata uchungu siyo wa kawaida.
Nikakumbuka 2019 mama yangu alivyopoteza mtoto wake, Frank, akiwa na miaka 30. Aliugua malaria tu siku mbili nyingi, akafariki. Mama yangu alikuwa analia kila kilio juu ya jeneza la mtoto wake. Niliumia sana.
Nimetazama kilio cha mama yake James Temba akiaga mwili wa mwanae pale KKKT Usharika wa Tabata. Nimejisikia vibaya san. Mama anamuaga mwanae, kiwiliwili tu. Kichwa hakipo. Unaelewa maumivu yake?
Sisi ambao ni wazazi, tunaelewa maumivu ya kupoteza mtoto kwa kifo cha kawaida. Fikiria sasa kifo cha mtoto wako kutekwa, kupotezwa na kupatikana akiwa ameuwawa kikatili, amekatwa kichwa na hakionekani.
Happy Birthday familia Mkato! @Roma_Mkatoliki more years and prosperity bro!
Tuendeleze mapambano kwani kuyaacha njiani au kuungana na watesi ni kuwasaliti wenzetu ambao hatujui walipo au ambao wametangulia mbele za haki wakiwa wanapambana!!
Kama unakubali chapa repost!!!
Saa nyingine tunashangaana, tunalaumiana, na kuhukumiana kwa vile tunafikiri watu wanafanya makusudi kufanya wanachokifanya na hawataki kubadilika. Kuacha tabia uliyojifunza bila mazungumzo rasmi wala kufikiri, tabia uliyoona ikifanywa na watu muhimu wanaokuzunguka tangu ukiwa mtoto, si shughuli rahisi kama tunavyofikiri.
Unaweza kumshangaa mtu umekutana naye ukubwani unajiuliza kwa nini habadiliki na haachi kukukera kwa vitabia fulani fulani lakini yeye mwenyewe hata hajui kwa nini umechoshwa na tabia zake ‘anazoziona ni za kawaida.’ Hata akijua anakukosea, akaelewa anahitaji kubadilika, kuacha kitu alichojifunza kwa miaka mingi si kitu cha kuzungumza na kutegemea atafanya maamuzi na kuacha siku moja.
🏴🇪🇸🇮🇹🇩🇪 EPL, LA LIGA, SERIE A, BUNDESLIGA
LEAGUE MATCH DAY ✅️✅️
JOIN US ON TELEGRAM FOR MORE
👉 https://t.co/6Huc0al1qb
👉 https://t.co/6Huc0al1qb
📱DOWNLOAD APEX MOBILE APP
👉 https://t.co/GUyu0SBlxp
Mhe. @TunduALissu anauliza;
1. Humphrey Polepole amepatikana au ni yale yale ya Mohamed Ali Kibao?
2. Mama anasemaje juu ya balozi wake Humphrey Polepole au ni kazi na utu?
He is not dead, He is only absent from this world to be present with the Lord.
This is not a painful exit, this is a call to Glory.
Uma Ukpai did not die, He just put on his real body.
We will miss you in this part of the world #HERO😭😭😭
#umaukpai#calltoglory