@Chapelele1@SnrDirector Ukiwa mgeni na hii nchi ndio utaamini ukiambiwa kitu, haya mabwaya yashapitwa na wakati, Egypt wanatengeneza Megawatt 300 kwa usd bilion 4 kwa Jua.
Hili bwawa halifiki miaka 5 kupata megawatt 800 itakuwa stori. Kila siku maji yanapungua hii nchi. Ccm wamechoka akili
#HABARI MCHUNGAJI wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Usharika wa Kijitonyama, Dk. Eliona Kimaro, amesamehewa adhabu yake ya likizo ya siku 60 akiwa ameitumikia kwa siku 34 hadi jana./https://t.co/UPSjdbQWj3
Hakuna yeyote ambaye ataufungua moyo wake kwako ila atapohisi kwako kuna amani. Angalia Nabii Musa(alayhi salaam) kwenye ardhi ngeni anakutana na mtu mgeni, kisha anamfungulia moyo wake na anamuhadithia kila kitu: {Basi alipomjia na akamsimulia visa vyake, alisema: Usiogope}.โฌ๏ธ
@NDOIGEuppercut@iamcleopatricia Ndio nyie mna halalisha ushoga na kufungisha ndoa za mashoga kanisani kwan kwenu upendo ni upendo hata mashoga wanasema hivyo kwa hiyo sera zenu zina fanana
@NDOIGEuppercut@iamcleopatricia Kafiri maana yake (mkanushaji)
Aidha amekanusha uwepo wa mungu kabisa au amekanusha kuwa mungu ni mmoja tu
Au amekanusha amri na makatatozo yake hao watu ni makafiri (wakanushaji)
Bado na kuambia sio muumini pia sio muislam safi bali hana tofauti na waovu kwa mujibu wa injili
WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UGANDA:
"Tulitawaliwa na tukawasamehe waliotutawala. Sasa waliotutawala wanatuomba tuwe maadui wa Urusi ambao hawakututawala kamwe. Je, hiyo ni haki?
Sisi kwetu: maadui zao ni maadui zao, marafiki zetu ni mrafiki zetu."
@NDOIGEuppercut@iamcleopatricia Uislam haubebwi kama ugalatia wala haulindwi kwa katiba za UN wala hautegemei mtu autangaze bali mtu akiusoma ataufahamu vyema