@PMadeleka Kuwa makatili kuliko shetani alitusaidii chochote .
Kinacho weza kutusaidia ni kujipigania sisi wenyewe.
Kumbuka ni muda gani tumekuwa watumwa wa watu wachache.
Kwanini tupoteze watu wetu na serikali ipo?
Kwanini serikali iwe kimya kiasi kwamba hakuna kilicho tokea?
KWANINI.
@mshaurikonki1@mangekimambi Una kasirika, unatoa povu kama sabuni ya unga
Kisa nini? Uyu mdada kakukosea nini wewe kama wewe? (JITAFAKARI) Elewa neno JITAFAKARI.
@TanzaniaLeaks Bora ujiuzulu tu sioni kazi unayo fanya
Wewe kama IGP UJUI Makonda yuko wap
Ila ukisikia msafara wa chadema viatu unavalia kwenye gari.
Apo kuna kulinda Raia na mali zake?
@TanzaniaLeaks Mzee Job Mungu akubariki
Wengi walikubeza wakakuona chizi
Mwabukusi ameonekana chizi
Wengi wamebezwa sana wakionekana Awafahi
Leo hii tunajuta
@mshambuliaji Mbona Rais wetu magufuli alivyo ugua hakuna taarifa iliyo tolewa kutujuza Afya yake ili tumuweke kwenye maombi
Mpaka umauti unampata ndo mnasema au akuwa binadamu?