@Sativa255 Sasa nyie wajinga sana, yaani mmelipwa mabilioni halafu huyu chizi mnamfanyia michango kama mnasafirisha maiti oahahahahahahaaa 😂😂😂 daaah ndo kusema mnamtumia kama toilet paper sio hahahaha 😂😂
@am_gudie Wavuke kwenda wapi, waliona uchizi wa mume wake akakaa kimya hakumkataza, acha wavune walichopanda. Niache kuombea mambo ya maana niombee wajinga walitaka wenyewe matatizo