Hii fursa! Wakiandamana ni kujichanganya hapo na mabango yetu 👊🏽🔥
Alomuradi wameruhusu maandamano tutaandamana sote - hakuna shida!
Safi kabisa!
Hivi hadi lini mtakubali @tanpol kuendeshwa na akili za Abdul?
#SamiaMustGo
Naona leo Nduli Idd Amin Mama amezuiwa kuongea huko Dodoma kwenye siku ya mashujaa, kamaliza hafla KIMYAKIMYA.
Wanaogopa atatoa boko, ukute na leo alikuwa K vant asubuhi asubuhi maana wanasema siku hizi akiwa anaenda kwenye function huwa anapiga mitungi kwanza, ndo maana kila akiwa kwenye podium akifungua mdomo tu, lazima atoe boko.😂
Hakuna maridhiano baada ya uchaguzi
Maridhiano ni kabla ya uchaguzi, baada ya uchaguzi ni uwajibikaji
-Humphrey Polepole alitoa huu ujumbe wa mwisho masaa machache kabla ya kutekwa!
Na sisi tunashikilia hapohapo!
#FreePolepole#SamiaMustGo
Asanteni Watanzania kwa mwitikio wenu mkubwa. Imebaki TSh. Milioni 5.5 pekee tufikishe Milioni 234, kisha tuanze safari ya kukusanya Milioni 100 zilizobaki ili kutimiza lengo la TSh. Milioni 334 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Samia hakuna kiasi chochote cha fedha kitakachoweza kukusafisha kwa mauaji uliyofanya.
NO any amount of money will cleanse you from the cold bloodshed you did.
Mpaka sasa tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 223.5, hatua kubwa inayotupeleka karibu zaidi na lengo la TSh. Milioni 334.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo