TISEZA replaces TIC and EPZA:
Yesterday, Thursday the 13th February 2025, the Parliament of Tanzania passed a bill on investment and special economic zones. Among other provisions, the bill establishes the Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority (abbreviated as TISEZA). This follows the merger of the Tanzania Investment Centre (TIC) and the Export Processing Zones Authority (EPZA).
๐๐ฒ๐ ๐ฑ๐ฒ๐ฐ๐ถ๐๐ถ๐ผ๐ป๐ ๐ผ๐ณ ๐๐๐-๐ฆ๐๐๐ ๐น๐ฒ๐ฎ๐ฑ๐ฒ๐ฟ๐ ๐ผ๐ป ๐๐ฅ๐ ๐ฐ๐ผ๐ป๐ณ๐น๐ถ๐ฐ๐ ๐ฎ๐ ๐๐ฎ๐ฟ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐ฎ๐น๐ฎ๐ฎ๐บ ๐๐๐บ๐บ๐ถ๐ ๐๐ผ๐ฑ๐ฎ๐
February 8, 2025
๐ฝ๐ฎ ๐๐ฝ๐ ๐๐๐ฅ๐ค๐ง๐ฉ๐๐ง
Dar es Salaam
โ ๏ธ Cessation of hostilities and immediate ceasefire
โ ๏ธ Restoration of essential utilities and supply lines for food and other essential commodities to ensure hummanitarian support
โ ๏ธ Peaceful resolution of the DRC conflict through the Luanda and Nairobi processes
โ ๏ธ EAC and SADC chiefs of defence forces (CDFs) should meet within 5 days and provide technical direction on immediate and unconditional ceasefire and cessation of hostilities, provision of humanitarian assistance, develop a securitization plan for Goma and surrounding areas, opening of the main supply routes, immediate re-opening of Goma airport
โ ๏ธ Luanda and Nairobi processes should be merged and strengthenied into one Luanda-Nairobi process. Additional facilitators, including from outside the region, should be considered and appointed
โ ๏ธ Resumption of direct negotiations and dialogue between all state and non-state actors, military and non-military, including the M23, under the framework of the Nairobi-Luanda process
โ ๏ธ Neutralization of the FDLR and the lifting of Rwanda's defensive measures and disengagement of forces from DRC as agreed in the Luanda process
โ ๏ธ A joint meeting of EAC and SADC ministers should be convened within 30 days to deliberate on the report of the joint meeting of CDFs on the ceasefire and cessation of hostilities and other matters
โ ๏ธ The modalities for withdrawal of uninvited foreign armed forces from the territory of the DRC should be developed and implemented
โ ๏ธ Regional leaders reaffirmed their support for the DRC in safeguarding its independence and territorial integrity
โ ๏ธ A similar joint EAC-SADC summit should be held at least once a year when the need arises
Source: Joint communique
#DRCconflict #DRCongo #DRC
Hongera kwa Klabu ya Simba kwa kufuzu kuingia Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup). Endeleeni kufanya kazi kuipa nchi yetu burudani na kuipeperusha bendera yetu kimataifa.
Ninawatakia kila la kheri.
Inajua itashinda akienda yeye. Tanzania ina uzeefu na uzoefu wa kushiriki na kushinda kwenye mambo kama haya. Ilimpitisha na kumsapoti Faustine. Sasa ni zamu ya kumsapoti Mohamed
Leo jijini Arusha niliposhiriki Mjadala wa Wakuu wa Nchi Kuadhimisha Miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Ikiwa ni miaka 25 tangu kuundwa tena kwa Jumuiya hii muhimu kwa maendeleo ya nchi zetu, nimeeleza moja ya kazi tunazofanya katika kuimarisha hali ya maisha ya wananchi wetu kupitia sekta ya nishati. Katika mjadala, nimeshirikisha jitihada zetu kuhakikisha matumizi ya nishati safi ya kupikia hapa nchini, ikiwemo hatua kubwa na ya kihistoria tuliyofikia kwa ukanda huu wa Afrika ya kufikisha nishati ya umeme kila kijiji.
Nimewasihi viongozi wenzangu kuunganisha sauti zetu pamoja, na kushirikiana na sekta binafsi katika kuhakikisha upatikanaji nafuu na wa uhakika wa nishati safi ya kupikia kwa wananchi wetu. Hatua hii ni sehemu ya kazi njema katika kuinua hali zao za maisha, na kujenga msingi katika utunzaji wa mazingira, jambo ambalo ni muhimu kwa ustawi wa Jumuiya yetu kwa vizazi vya sasa na vijavyo.
Mwezi JUNI mwaka huu tulitia saini na wawekezaji ili kuanzisha MJI wa KILIMO eneo la MKULAZI Ngerengere, Morogoro.
Hili ni eneo la SHAMBA KUBWA jipya la MIWA ili kuzalisha sukari na SHAMBA jipya la NAFAKA (soya na mahindi ya njano - yellow corn) kwa ajili ya mahitaji ya NDANI na mauzo NJE.
JUMLA ya ukubwa wa MASHAMBA yote: HEKTA 61,000
Mtaji wa Uwekezaji: $ 576 MILIONI
AJIRA tarajiwa: ZAIDI YA 20,000
Uzalishaji wa SUKARI: Tani 150,000 kwa mwaka
Uzalishaji wa Nafaka: Tani 90,000
.
.
.
KAZI imeanza. KAZI inaendelea!
Utekelezaji na Uendelezaji wa Jiji la Kilimo Mkulazi - Morogoro๐
Katika hatua nzuri ya utekelezaji, eneo la uwekezaji la Jiji la Kilimo Mkulazi linaendelea kuandaliwa. Kampuni za Longping na Eagle Hills tayari zimekamilisha usafishaji wa mashamba na zinatarajia kuanza upandaji hivi karibuni.
Jiji la Kilimo Mkulazi linatarajiwa kuleta manufaa yafuatayo:
Mtaji wa Uwekezaji: Milioni 576 USD
Uzalishaji wa Sukari: Tani 150,000
Uzalishaji wa Nafaka: Tani 90,000
Ajira: Zaidi ya 20,000
Utekelezaji huu utaongeza uzalishaji wa kilimo na kuchangia katika maendeleo ya kiuchumi katika eneo hili.
1/2 TOP TIER investment destination in EAST AFRICA
According to the @WorldBank, seems like the investing in East Africa is now a two-horse race!
Tanzania under HE @SuluhuSamia's reforms has made significant gains in improving investment climate and being business ready.
Mageuzi UWEKEZAJI sekta ya KILIMO
Viongozi mbalimbali washuhudia Makabidhiano ya UTEKELEZAJI wa UENDELEZAJI wa Jiji la Kilimo MKULAZI- Morogoro!
Jiji la Kilimo - Mkulazi kuzalisha..
Mtaji wa UWEKEZAJI- 576USD Million
Tani 150,000 - Sukari
Tani 90,000- Nafaka
AJIRA- zaidi 20,000
Jana timu ya TIC kushirikiana na wadau wetu Azania Bank tulipata nafasi ya kubadilishana uzoefu na Waheshimiwa Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi
Tunakushukuru Mhe @JMakamba na Uongozi mzima wa wizara kwa kutushirikisha katika hili
Ninyi ni NGUZO muhimu ya UWEKEZAJI
UWEKEZAJI mpya Dodoma ๐ฅ
Eneo: Kisasa, Dodoma mjini
Sekta: Matairi ya magari
Wiki hii nilipata wasaa wa kujionea hatua iliyofikiwa katika uwekezaji huu mpya kwenye jiji la Dodoma.
TIC tumeweka kipaumbele kuhakikisha Jiji la Dodoma linaongoza kwa uwekezaji pia.
Hongera sana Dr. Mussa Budeba CEO @GeologicalT kwa hatua hii kubwa na nzuri. Ushirikiano huu utasaidia sana katika kukuza sekta hususan kupitia kubadilishana uzoefu na matumizi ya tehama (akili bandia). Tuhakikishe kupitia ushirikiano huu tunawapa kipaumbele #vijana.
Stay informed about the APPLICATION for a new certificate of incentives,
Opening doors to exciting opportunities ahead.
Stay tuned for updates!
#Incentives#Opportunities