โTulifanya mambo kadhaa ili kujua ubora wa Maabara tukapeleka sampuli za wanyama, ndege na vitu vingine bila wao kujua, tukazipa majina ya Watu, tumepeleka sampuli ya mbuzi akawa positive, kondoo Negative, mapapai nayo positive, maana yake mbuzi,mapapai yote yana coronaโ-JPM
@joy4_0 @Msumari9 Thibitisha kama ni uongo! Namuamini @kigogo2014 kuliko chombo chochote cha habari na kuliko mjinga yeyote asiyemwamini kama ww @kigogo2014 piga kazi