NATUMIA NAFASI HII KUKUKARIBISHA KUUNGANA NAMI KUTOA SHUKRANI KWA MUNGU KWA YOTE ANAYOTUTENDEA, WIMBO WANGU HUU WA SHUKRANI UNAPATIKANA YOUTUBE NA KATIKA MITANDAO YOTE YA KIJAMII SEARCH 👉@ChettaFlyee kote. #flyeelifemusic#ChettaFlyee#AHSANTE
HADIDU ZA REJEA: MAMA WA KAMBO ANAJIZIMA DATA
Tumeshakubaliana kuwa yeye ni “Illegimate President”, na pia Tume yake ni ILLEGITIMATE: ina CONFLICT OF INTEREST, pia yeye sio Legit hivyo hana mamlaka kisheria kuunda Tume. Anatakiwa a STEP DOWN, asubiri TUME ZA KIMATAIFA zilizoafikiwa na WANANCHI zifanye kazi.
BUT for argument sake, tufanye ni sawa Tume ndio hiyo. Kweli hizo ndio TERMS OF REFERENCE (Hadidu za Rejea) za kufanyia uchunguzi wa “Kilichotokea”?! Nani kamwambia Tunachunguza VURUGU sisi?
Hujui Sababu za Raia (Maana sio Vijana tu) kuandamana? Kweli Watu wamepigwa risasi wewe unataka kuchunguza NGOs? WATU WAMELIPWA? Jamani waliofanya Fundraiser si ni CCM na wakapata karibia BILLION 100 za michango. Mmeandika ILANI ambayo haijui Malalamiko ya Wananchi, alafu unashangaa why HATUWATAKI
Familia ya Deusdetius Soka inahitaji Kulipwa Kuandamana?
Familia ya Marehemu Ali Kibao Inahitaji kulipwa Kuandamana?
Waumini Wa Gwajima walioporwa Haki ya Kuabudu wanahitaji Kulipwa Kuandamana?
Wananchi milioni 6 waliompigia Kura Tundu Lissu mwaka 2020 walioona anapewa KESI YA UHAINI kisa amedai Reforms, wanahitaji Kulipwa kuandamana?
Wafuasi wa Luhaga Mpina walioshuhudia anakatwa kama Mgombea, wanahitaji kulipwa Kuandamana?
Vijana waliosoma na Wasio na Ajira na Wenye Njaa, ambao wameshuhudia Vigogo na Watoto wao wanavyofuja Mali za Taifa lao, wanahitaji kulipwa Kuandamana?
Wafuasi wa Polepole wanahitaji Kulipwa Kuandamana?
Familia na Mashabiki wa Roma Mkatoliki, Sativa, Tito Magoti, Eric Kabendera, Abdul Nondo, etc wanahitaji kulipwa kuandamana?
STOP INSULTING OUR INTELLIGENCE!! Sasa hiyo ni Tume ya Uchunguzi kweli? Mbona ni kama Mmeshafanya Uchunguzi wenu na Mnawapa Maelekezo ya nini wafanye!!
Sisi tunataka TUME HURU ZA KIMATAIFA zichunguze WIZI WA UCHAGUZI, na MAUAJI YA HALAIKI YA VYOMBO VYA DOLA. Kama kutakuwa na wajumbe wa Ndani basi Wawe ambao Wanachi tutawaafiki (wasio na INTEREST nor ULTERIOR MOTIVES)
Najua Mnajizima Data maana wenyewe mnanusa mwisho wenu, ila kazi itafanyika hata offline…
The Leader
🚨 HORROR the stuff at Kitonka Medical Hospital, Dar es Salaam! forced to leave the dead to save the living! 😱 Video evidence of this nightmare! Yet dictator @SuluhuSamia dares tell Tanzanians to "sit down"?! And finish our differences NO! She must face JUSTICE for crimes against humanity! ⚖️ @IntlCrimCourt@amnesty@hrw@CNN@BBCWorld@AlJazeera #TanzaniaCrisis #JusticeForTanzani
Yaani kuna Video zaidi ya 100 in public, alafu wanataka kujitetea on that one video.. ILI IWEJE?!
Kwanza wana insult our intelligence, na pili, wana watusi watu waliofiwa na ndugu zao na kuamsha hisia upya hasa ambao wamelazimika kuzika nguo na viatu tu, na video zinaonyesha miili ya ndugu zao.
YOU GUYS NEED TO LET IT SINK IN KUWA MMEFELI NA HAKUNA PLAUSIBLE COMEBACK ITAKAYOFANYA KAZI.
Mnadeal na mtema mate mnamuacha huru mjambaji!!!
Yani mnaanza kuhangaika kuwatafuta wauguzi waliovujisha video ya Mwananyamala Hospital.
Badala ya kudeal na wauaji!!
Waliowaua hao ndugu zetu mnawaacha huru!!
The violence Samia Suluhu unleashed on Tanzanianians for protesting demanding free and fair elections.
Pay attention to the date on the CCTV cameras this was 48 hours ago.