Awamu hii ya sasahivi sijawahi kusikia mkuu wa Nchi akitoa tamko,
Mafisadi washikiliwe.
Ni sisi hapa tu! Tunapiga makelele, kama ya Sisimizi.
Atakumbukwa sana Magu.
Video kwa Comments 👇
Unajua hiyo gombania goli inayopigwa huko mboga mboga ya nani agombee kiti kile, inatengeneza pande mbili au tatu hivi.
So ikitokea upande mmoja ukaonekana una nguvu zaidi ya mwingine, au upande mmoja ukalazimisha kama hivi sasa kujipitisha bila uchaguzi wa ndani kufanyika.
Technically upande mwingine hautabariki uchaguzi huu😁
Then kifuatacho ITV?🤔
Automatically upande usiobariki utatamani uchaguzi usifanyike tu.
(Zile za bora tukose wote)
Na hapo ndipo “No reforms No election”
Itakapoonekana ina make sense na kuungwa mkono zaidi 👏
Tuendelee kushambulia krosi dongo!
A traitor to the nation. Accepting to be used by CCM to kill real opposition and hijack the election is a direct assault on the will of the people.
#NoReformsNoElection 👊🏽👊🏾👊🏿
#TutaelewanaTu@idualliance
malisa_gj Habari za leo kaka? Naomba utusaidie kupaza sauti ili haki iweze kutendeka. Mdogo wetu Enock Thomas Mhangwa (25), mkazi wa Runzewe, Geita, ameuawa kwa kupigwa na viongozi wa serikali ambao ni Afisa Mtendaji wa kijiji cha Uyovu anaitwa Budimu na Afisa Mtendaji wa kijiji cha Lyobahika anaitwa Masembo.
Viongozi hao walimtuhumu Enock kuwa ameiba kompyuta na mashine za kunyolea wakataka aoneshe alipoficha vitu hivyo. Enock alikataa kuhusika na tukio hilo kwa sababu hana tabia ya wizi. Alipokataa, walimfungia ofisi ya kijiji na kuanza kumpiga na kumlazimisha aseme.
Baadaye walienda naye nyumbani, wakamkuta mama, wakamwambia atoe laki 2 ili wamsamehe.
Mama hakuwa na pesa. Wakamwambia, "Kama huna laki 2, huyu tunaenda kummaliza." Wakampeleka porini, ambapo walimpiga wakiwa wamemfunga mikono kwa nyuma ili asiweze kujitetea. Enock alipozidiwa, aliwaomba wamhurumie, ataenda kuongea na mama awape hiyo hela. Wakamwambia, "Mama yako amesema hana hela." Akawaambia atauza pumba maana alikuwa amekoboa mpunga. Lakini hawakumsikiliza. Waliendelea kumpiga tu.
An African history mostly not written or taught in school. The 1945 conference that United Africans in the diaspora with Africa to create a liberation and achievement for a black nation.
Mbunge anafanya kazi yake ya kibunge anashambuliwa.
Kazi ya mbunge ni kutunga sheria,
Kusimamia serikali
Kuwakilisha wananchi
Kazi ya mbunge sio kumsifia rais.
Nchi imegeuzwa kuwa ya kuimba na kusifu.
Praise and worship!!!!
Inasikitisha inatia aibu na kinyaa lakini tutabadili hali hii.
#NoReformsNoElection
Leo jioni nimetoka na mwanangu mmoja kula; msosi ulivyokuja akasema—Jeff tusali
Nikamwambia bro wewe nisalie, mimi kuna kitu namalizia mara 1
Nikafungua simu, nikaangalia hii picha. Hakyamungu, hasira ya ajabu sana ikanishika, nikashindwa kula
Bro, No Reforms No Elections😡