@AvekiKigwa@Octavianlasway@msakufarm Hii huwa zile association za wanafunz wa kozi Fulani huwa Wana organized event halafu watu wanaenda kujifunza .
Mfano mwak 2023 Kuna association ya wanafunz SUA main campus waliandaa event wakaja watu toka TOSCi na TFRA munalpia event fee halafu munapata cheti Cha ushiriki tu
Update Ya Juzuu na Mas haf 👇🏻
Mpaka sasa tumefanikiwa kupata Majuzuu 750 na Mas haf 30, bado tunaendelea kupokea michango yenu ndugu zangu kwakuwa uhitaji ni mkubwa
Pitia pin post yangu kwa maelezo ya kuchangia zaidi na Mwenyezi Mungu awazidishie kila aliyetoa 🙏🏻
@EsirEid@raphyrodrick@ahmedsalimasas Kwenye upande wa insurance Kuna ambzo insuarance scheme ambazo zinafuata misingi ya Sheria za kiiskamu hizi zinakubalika.
Kam Islamic insuarance scheme- "Takaful " hii iko Chini ya Islamic law
@GKeyness@deezharare @tzagriculture 🔥🔥.
Maana halisi ya kilimo Biashara
Lazima uanzie sokoni
Na soko lenye Ni lazima kuwa na Taarifa sahihi ya uzalishaji kutoka kuandaa shamba up to farm gate to final consumer..
No sustainable Agricultural without having Smart Agricultural system
#MazaoHub ✊
@GKeyness@mazaohub 🔥🔥
I hope Siku moja Kaka
Ungekutana na Vijana wa vyuo vya KILIMO. Mfano SUA..
Maana wao Ni wataalamu wajao katika upande wa Kilimo na KILIMO biashara
Maana Naona kupitia @mazaohub Kuna FURSA Nyingi kwao na Ajira nyingi zipo pia itakua Ni platform ya wao kuuza ujuz na kujifunz