Jaji; Sasa mshtakiwa atapewa nafasi kusema kidogo kuhusu hizo haki zake ambazo nimeshamueleza
Tundu Lissu: Waheshimiwa majaji baada ya kusikiliza uamuzi wa Mahakama napenda kuijulisha Mahakama ndiyo nitajitetea
Tundu Lissu; Nitajitetea mimi mwenyewe kama shahidi wa kwanza.
Na vile vile nitaita mashahidi ambao naomba Mahakama iwapelekee summons haraka
Shahidi wa kwanza ni SAMIA SULUHU HASSAN
Ndiyo Chief Executive wa serikali inayodaiwa kutishiwa
Kwa hiyo SAMIA SULUHU HASSAN popote alipo apelekewe summons haraka
Vile vile shahidi huyu ni mwenyekiti wa baraza la usalama.
Nataka nijue kama yeye na baraza lake wanajua kuhusu hilo tishio
Siri pekee ya kushinda dhambi ni kukaa sana katika neno la Mungu na fundisho. Uwe na kiu ya kijifunza kwa watumishi wa kweli. Fundisho moja la Mwalimu Mwakasege lilitosha kabisa kunitoa kabisa katika vifungo vya dhambi. Nimelitunza hadi leo kwenye diary.
@MajengoSimeon@KapsJr Anacho maanisha ni Kwamba kuna Mauti ya milele na Isiyo ya milele, Ukishupaza Shingo katika dhambi utakua umechagua Mauti ya milele
Huko Katoro kwenye mkutano wa Chadema wanazurura na ligari lao watu wanawazoom tu!
Sema hii gari si ya kuzurura nayo na kukaa pamoja muda mrefu - maana kama kuna mmoja kala breakfast ya mayai ya kuchemsha na maharage mtatoka wenyewe ๐คฃ tayari naona dalili hapo vioo vimepata ukungu! Dah hizi ni hermetically sealed vehicles - Shauri zenu!
Ila #TutaelewanaTu
Anza Leo. Usingoje perfect moment anza na uliyonayo.
โฎ Nenda Google uka-search: โ๐๐ข๐ข๐๐๐ ๐๐๐๐๐ง๐๐ ๐๐๐ฅ๐๐๐โ
โณ Ingia kwa email yako
โณ Chagua skill yoyote ya digital unayoipenda
โณ Anza course (ziko simple + step by step)
โณ Fanya assignments zote
โณ Ukimaliza unapewa cheti (certificate)
โฎ Weka hicho cheti kwenye LinkedIn yako
โฎ Tumia kuomba kazi au freelance gigs
Kozi zote ni ๐๐จ๐ฅ๐. Hakuna kisingizio.
Lakini ngoja nikuambie kitu ambacho watu wengi hawasemiโฆ
Course peke yake haitokupa pesa.
Skill + matumizi yake ndiyo inaleta pesa.
Ndiyo maana tunafanya hii kama CHALLENGE ๐
@Asonofcreator@Conspiracist_1@Asonofcreator Soma vizuri Mwanzo 1, lakini pia litafakari hili fungu la isaya "Duara ya Dunia" "hao wanaokaa ndani yake"
Reality: Dunia ni flat surface, ipo covered na Mduara kwa juu, thus why anasema Juu ya Duara ya Dunia
@1Cypher0 So, the "circle" of Isaiah 40:22 refers to the horizon of the earth, which is very obviously perceived as a circle since it can be seen in 360ยบ from most anywhere on earth. In Ancient Near Eastern conceptions, this circle would refer to the flat earth disk, not to a sphere.
Did you know that butane and propane, commonly known as LPG (liquefied petroleum gas) or cooking gas, are naturally colorless and odorless?
That rotten egg smell you perceive during a gas leak isnโt the gas itself. It comes from an additive called ethyl mercaptan, which is added as a safety measure so leaks can be easily detected.
Have you learned something today?
No like, comment, and retweet if you do ๐