Kuna hali inaitwa Invisible Victory.
Ni pale hakuna anayekupongeza.
Lakini leo umeweza kufanya jambo ambalo mwaka jana lilikushinda.
Umeweza kusamehe.
Umeweza Ku–Move on.
Umeweza kuacha dhambi.
Umeweza kupata amani.
Watu hawaoni ushindi huo.
Lakini Mungu anaona.
Saddest picture I've seen today 💔😭
Dad di£d, mum has now followed him, they are now all alone in this world. The taller boy is now the father and mother of the rest... what a sad event.... 💔 if you ever marry an orphan, kindly take care of that soul... it already has alot of wounds on it,
DNA, VINASABA
Kila Mwanadamu amebeba taarifa za ukoo wake taarifa za vizazi na vizaz vya Mababu zake.
Hizi DNA Wanasayansi wamejitahidi kuzisoma na kuzichambua lakini wameshindwa kuzichakata katika hali ya kiroho zaidi.
Kama katika familia yako au Mzazi wako ni Mganga ama Mchawi basi tambua na Wewe ni Mganga ama ni Mchawi hata kama haijajionesha.😀
Kwako DNA zenye taarifa ya Uganga ama Uchawi hazina tofauti na DNA zenye taarifa ya Ualubino.
Unaweza kubeba kinasaba cha Ualbino lakin usiwe Albino.
Ndivo DNA za kichawi pia huwa.
Unaweza beba DNA hiyo ukaja kukutana na Mtu ambae nae katoka familia ya kichawi ama kiganga basi jua kiumbe kitakacho zaliwa hapo ni kichawi au kiganga
Hiyo nimifano tu sio kwenye uchawi pekee hata katika mali.
Mtu huwa na mali nyingi kama ataishi na Mtu ambae kwao wanavinasaba vya mali.
Ikiwa mmekutana kwenu wote ni maskini,msahau kuja kuwa Matajiri
Uzuri wa hizo DNA unao uwezo wa kuzibadilisha kuondoa DNA za Ukoo wako na kuingiza zako unazo taka wewe.
Najua untoa macho huku ukijiuliza kivipi inawezekana ila hii inawezekana kabisa....... tafuta maarifa.
Hata Makanisani wanajaribu tu kusema nakataa maagano ya mababu navunja kwa damu ya Yesu,nicheke kwanza😃.
Kweli mnajiribu kukataa hizo DNA lakini hamtafanikiwa cz hazitolewi kwa style hiyo ya kukemea.
Kuna Watu wametoka katika familia za kimaskini mno wanabaki kukazana kuwa ni laana ya ukoo.
Si laana hizo ni damu za Mababu zenu, na kila siku tunaingiza taarifa mbaya katika DNA zetu mfano:
Unapojihusisha na usagaji au ushoga tambua hiyo hali inaweza kuja kuwa na kinasaba cha kizazi chako chako cha mbele.
Sijui mnanielewa ?
kama umenielewa shusha RT ya nguvu tusonge pamoja 💪
🤔Ushawahi kutana na haya maneno matatu kwenye magari ? 2Wheel Drive(2WD) ,4Wheel Drive(4WD) na All Wheel Drive(AWD) hua unajua yanamaanisha nini kabla ya kununua hiyo gari?
Kula maujanja kidogo haya hapa chini ..