@mangekimambi Kama Heche yupo tz mbona hajajidhihirisha wazi kuwa yupo tz. Kama kamati kuu yote na ushahidi upo kwa hiyo kamati kuu yenyewe na Heche akaomba msamaha kwa K/kuu na akasamehewa hapo CCM anahuaikaje? Mnapigana vita wenyewe ili kuinufaisha ccm alafu badae mnasema mnauliwa na ccm
@godbless_lema Na unapaswa na wewe ufahamu kuwa wewe ambaye unawaficha wanaolipwa na mashirika ya nje ili kuleta machafuko nchini, hao wanaharakiati kina mange, sativa, sarungi n.k na wewe huna tofauti nahao uliowataja katika andiko lako. Anza kukemea na hao wanaharakati wanaolipwa fedha nyingi
@IAMartin_ Umeeleza vyema lakini hukupima mzani wako sawasawa.........vipi kuhusu bank zote za hapa nchizi......waliokufa sio wateja wao???? Je tususie peza zetu kule au tuzitoe zote na kuzikataa maana hazijasimama na wateja wao???
Je vp kuhusu makampuni ya simu? Hayajapoteza wateja wao?
@LuhagaMpina Amka toka usingizini unaota wewe..........kipindi pekee ambacho ccm ingetoka madarakani ni kipindi kile cha UKAWA lkn sio wewe mpina na chama chako cha ACT wazalendo.
@AngellahKairuki Hongera mama kairuki, same maghatibi tutajuta kwanini 2020 hatukukupa nafasi tukampa yule mfanya biashara wa botswana ambaye hata sasa wamerudia makosa yaleyale ya kumpa imani ya kuendelea kuwafanya wana same magharibi kuwa soko lake. Naomba K/Kuu taifa wamkate tu wasimrudishe
@godbless_lema Lema ajali za barabarani sio kwa bodaboda tu........Kwanini unatupa lawama kwa serikali ilihali hii ni biashara kama zilivyobiashara za usafirishaji kwa njia ya bajaji, daladala , mabasi, treni na usafiri wa anga. Ajali katika vyombo hivyo ni kawaida wala hapaswi mtu kulaumiwa.
@EduTalkTz Muda ni rafiki mzuri, hadanganyi........mtamtaja huyo mama Samia ambae hamumuogopi na kusema atume alwatekaji ni mama Samia yupi???
Ukiwa mchekeshaji lazima uchague content ambayo haitakuletea madhara. Mfalme hadhihakiwi sasa @tanpol wakianza kuwashughulikia wanaharakati mtaanza
@Jengos_mss@Iamfelixtz Kibu alifanikiwa maana aliishi bongo mwa zaidi ya miaka 5 akiwa si kwa shughuli za mpira thus why FIFA waliruhusu kikanuni kucheza timu ya taifa ila kwa kina Bada na wenzie kanuni za FIFA zitawatoa maana vigezo vya kubadili uraia wao ni kwa ajili ya football
@Iamfelixtz Hakuna hata mmoja aliyekidhi vigezo vya kucheza timu ya taifa kwa MUJIBU wa taratibu za FIFA
Hivyo tunawashukuru kwa kuwa wanaenda kupunguziwa hadi mishahara na kuanza kulipwa mishahara km wazawa
@EduTalkTz@jjmnyika@ChademaTz@EzekiaWenje Haya mambo yanahitaji utulivu sanaaaa maana chadema wanapiga Ngoma yao na wanaicheza wenyewe.
Wenje, yeriko na genge lao wanadai join the chain ilikuwa kwa ajili ya mapinduzi ya FAM....katibu mkuu mnyika amenyoosha maelezo ambayo mengi ndio maswali waliuliza genge la TAL
@_zolendronic Bibi angu anazo kipindi Cha nyuma nilimuona nazo zaidi ya 8 na zile za Senti Moja zingine zimeandikwa sumni nyingi sana ila mm sikujua zinakazi gani