Yule mtoto aliyepigana na Sele alikuwa anaweza kabisa hata kwenda zake club baada ya pale,uso msafiiii..huwezi sema ametoka kupigana.
Uso wa kibonge sasa,chapachapa.
Rose flower linanukia vizuri kuliko nyanya ila haimaanishi kuwa rose linaweza kutengeneza supu nzuri. Usimdharau mwenzako kila mtu ana nafasi yake kwenye maisha.
Nimehuzunishwa na taarifa za kifo cha rafiki yangu Ali Mufuruki (Mwenyekiti na Mwanzilishi wa Jukwaa la Wakurugenzi Watendaji wa Kampuni - CEOrt) Nitamkumbuka kwa uzalendo na mchango wake katika kukuza sekta ya biashara na ushauri kwa Serikali.Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.
Kwetu @StreetSoulTZ Uhuru una maana nyingi… Uhuru wa kupata mahitaji yako ya mavazi chini ya paa moja… uhuru wa ku access facility zetu bila kuvuliwa viatu hata wakati wa usafi.… Uhuru wa kutuagiza bidhaa na tukuletee popote ulipo bila tashwishwi… nk Happy Independence Day!
. @StreetSoulTZ tutakuwa wazi saa tatu kamili… jipe muda Jumapili hii utembelee maduka yetu upate kiatu kizuri cha ngozi, kwa ajili ya ibada, kazi na kadhalika… tunapatikana M/City, Rock City Mall na AIM Mall Majengo, Arusha… Karibuni sana…
. @JustFittz tip; runners tend to eat healthier which helps them lose weight and have good skin. You know you don’t like eating fried food if you're going to be running later because you will feel sluggish.
Holidays imefika, unahitaji backpack/bag kwa ajili ya safari na/au zawadi kwa uwapendao… tunazo @JustFittz na ubora kwetu ni kipaumbele.. Karibuni sana.
Nimechukizwa sana na kushtushwa kwa kitendo cha @TZMsemajiMkuu wa Serikali kutishia vyombo vya Habari na kuwaelekeza nini cha kuandika/kutangaza na nini cha kutoandika/kutangaza. Anatishia kutumia Sheria ya hovyo ya Habari inayomfanya kuwa Mhariri Mkuu wa Taifa. #Ubabe
Watu waliojitambulisha kama usalama wa taifa, walikwenda kanisa la TFE KWA NEEMA lililopo Kiloleli, Ilemela jijini Mwanza (almaarufu Kwa Askofu Mpemba) wakishinikiza Askofu Mpemba aondolewe lasivyo serikali italifuta kanisa hilo.
Viongozi wa Dini walikutana na DAB juzi eeh?
Tujikumbuke wazee kabla mwaka haujafika tamati… haiwezekani tununue suruali kila siku lakini tupuuze boxer ati kwakuwa ni nguo isiyoonekana… mens brief ziko @StreetSoulTZ Dar, Arusha na Mwanza…
To unleash the best version of yourself, embrace sweat and pain… you either go hard or fuck off and go home… @JustFittz opens at 0900AM | #TwitterGulio
Basi bana na mie vidogo vyangu viwili vina-graduate. Kamoja leo Sheria, kengine kesho pale SUA mazingira. Vyote vya kike… mama yetu anajisikia fahari sana he he
Nawaza tu TOT wanaweza kua na mfuko wao wa kuchangia Pesa kwa vijana wanaoshindwa kulipa Ada waweze kusaidiwa in one way or another..imagine tunakua na community iliyosomeshwa na TOT.. mawazo tu