Top Tweets for #Ubabe

Mama @SuluhuSamia neno
Matumizi ya #mabavu na #ubabe
Ulivyoyakataa kwenye utawala wako Hakika umetimiza neno la Mungu endelea vivyo hivyo
Kataa MAUWAJI holela
Kataa uminywaji wa DEMOKRASIA
Futa sheria zote kandamizi
#changeTanzania
@fatma_karume Hiri ritabia la usalama kuchukua watu.. hakukuwepo kwa kiwango hiki..
Yani Magufuli anatuonyesha #UBABE
Nimechukizwa sana na kushtushwa kwa kitendo cha @TZMsemajiMkuu wa Serikali kutishia vyombo vya Habari na kuwaelekeza nini cha kuandika/kutangaza na nini cha kutoandika/kutangaza. Anatishia kutumia Sheria ya hovyo ya Habari inayomfanya kuwa Mhariri Mkuu wa Taifa. #Ubabe
@NevilleMeena Katili huwa hana roho, ana moyo tu wa kusukuma damu :( Tumeanza kupoteza utanzania wetu hivi hivi tunajiona! #Kuumizana #Kutekana #Dhuluma #Kudhalilishana #Ubabe #Kutishana #Kiburi Karma haijawahi kumuacha mtu salama!
Nadhani toka 1992, haijawahi kutokea Serikali ya #Tanzania kupitia Rais wake ikajiamulia matumizi ya fedha za umma 'itakavyo' kiasi hiki, nje ya bajeti iliyopitishwa na Bunge, na Wabunge wakihoji wanaambiwa 'SHUT UP' as if wanafunzi wapiga kelele darasani.
#UBABE
#ChangeTanzania https://t.co/tdPZy72LDx
Bunge linatakiwa kufanya kazi yake ya kusimamia serikali hasa kwenye matumizi yanayofanyika nje ya bajeti iliyopitishwa na bunge #ChangeTanzania
Check out my #review on these #Ubabe #drawingpens: https://t.co/pMYrGGK0xb buy here: https://t.co/n0xoQwFf7F #sponsored #promo #ad

Kama malalamiko anayotoa #shyrosebanji ni ya kweli ndani ya Chama basi ndugu Wa Chama hicho wanasafari ndefu saana ya kufika #ubabe
Sipendi kuangalia #HABARI siku hizi maana zote zimejaa #UBABE tu.... Kila taarifa #UNDAVA tu duh.
#SAM_MAGOLI
@Sangeetor gives me motivation for the day ahead even when she's still asleep #birthdayquotes #ubabe
π¨ Mh.aapishwe tuanze kazi maana hakuna namnaa..eeeh hakuna namnaa..hii Nchi inaongozwa kwa misingiπ¨
#ubabe
Last Seen Hashtags on Sotwe
gandhalepani
Seen from United States
StPatricksDay
Seen from United States
narouN8845DC
Seen from United States
omegle or #exny or #nolimit() +filter:native_video
Seen from Australia
ζ½ζ¨γγγ
Seen from Colombia
PojebyZTczewa
Seen from United States
Pizhaitamilfilm
Seen from United States
corluesc
Seen from Turkey
cryptolending
Seen from Malaysia
CetroMΓ©dico
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.5M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.5M followers

Bill Gates 
@billgates
64.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers























