An Inclusive Early Child Education (ECE) Center located offering education to children with disability and children without disability
Tel: +255(0)786 780 706
Access to quality education for Children with Disabilities is a right that should be adhered to and encouraged by all. Reasonable accommodations should be available to support the children.
#ZeroBarriers4PWDs#inclusiveeducation
Today the @FCSTZ team, representative from the Office of the Registar of NGOs, representatives from DANIDA & CWCD team paid a coutersy call visit to the Arusha Regional Secretariat office & met the RAS Dr Athumani J Kihamia during our Joint Monitoring visit in Arusha #JMV2021
@FCSTZ Executive Director @KiwangaFrancis speaking to the Arusha RAS Dr Athumani J Kihamia on our work in protecting girls rights & empowering girls voices in Arusha #JMV2021
Changamoto za kitabia kwa watoto na vijana wenye Usonji mara nyingi huwa ni kikwazo kwao kuchanganyika katika shughuli za kijamii. Kwa kadri jamii itakapopata elimu zaidi kuhusu Usonji na kuwakubali ndivyo itakavyokuwa rahisi kwao kujumuika @InternewsTz@Internews@HNkabe
“Mwishoni kwenye #WikiYaAzaki2021 kutakua na tuzo kwa ajili ya Asasi za Kiraia zilizofanya vizuri maeneo mbali mbali ya kisekta, mfano, Uwajibikaji kwa jamii, Utatuzi migogoro, Kuhudumia watu wenye Ulemavu na haki zao na nyinginezo”
@HengaAnna#AzakiNaMaendeleo
⏺️Kheri ya Sikukuu ya Maulid- Al -Nabi
⏺️Wazazi kutengana au kukimbilia mjini kutafuta maisha inatajwa kuwa chanzo cha mabinti wengi kupata mimba za utotoni.
⏺️Ujumbe mzuri wa kuelimisha hili usiozidi herufi 280 kuzawadiwa kati ya Tsh. 5,000 mpaka Tsh. 30,000
⏺️Usipoziba Ufa?
Are you interested in education leadership in East Africa?What should policy makers consider to make sure education is equitable? To receive hot off the press insights on these issues,subscribe to our newsletter which will be out in a few days. Subscribe ➡️https://t.co/kHIIIgCxJ3
Mkurugenzi wa Child Support Tanzania Bi Noelah @NoelahShawa akitoa brief ya kazi CST imefanya kwa ushirikiano na CBM katika kikao cha mwaka cha wadau wa CBM, Mbele ya mgeni rasmi Mh Jacob Mwinula kutoka office ya waziri mkuu kitengo cha uremavu.
RELI Tanzania Convening and Learnshare Event 2021 come to an end.
Meet the Accountability Thematic Group sharing learning and experience harvested during 2020.
Keynote Speaker: Adv. Lawrence Chuma
Theme: Accountability in Education - Evidence for Advocacy.
Welcome to join Differently-Abled Club in clubhouse! Karibu ujiunge na club ya Differently-Abled ndani ya mtandao wa kijamii wa ClubHouse.
@HNkabe @Clubhouse @KumekuchaClub @mBongo @FCSTZ @wizara_elimuTz https://t.co/JUGxG5suHf
The #LostPotentialTracker predicts that #Covid will be responsible for the failure of 11.4 million children to master basic literacy skills by age 10
Ahead of the #GES2021, join us in telling governments to invest in every child's education https://t.co/rkjtYxSKLK
#FundEducation
“Wadau hao wa nje ni kama vile; Taasisi Binafsi, Bunge, Mawakala wengine wa Maendeleo na Serikali kwa Ujumla.”
Francis Kiwanga—Mkurugenzi Mtendaji, Foundation for Civil Society.
#UzinduziWaWikiYaAzaki2021#AzakiNaMaendeleo