@nyuki_malkia@EsirEid Ndio pakwenda darasani hapo ili ujue maana vitabu viwili vya dini kubwa vinathibisha kuwa watu hao walikuwepo
Sasa waliondokaje na walienda wapi na kwanini waliondoka tuiulize Historia
@EsirEid Tuonyeshe waisraeli halisi maana umekubali kuwa walitolewa misri. Sasa hao waliotoka misri kama biblia na quran isemavyo leo wako wapi au walienda wapi?
@MdeePaschal Wewe jamaa shida yako elimu ya kukalili.
Hivi unadhani AI imeshuka toka kwa mbinguni!
Hiyo ni watu wametengeneza wakailisha kila elimu haina tofauti na Google
Ndio maana inaitwa akili bandia
@MfalmewaX1 Mungu ameweka kuchagua
Halazimishi mtu kumwabudu ila ameelezea madhara ya kutomwabudu
Rejea kwenye biblia soma maandiko haya;
Kumbukumbu la Torati 30:15
[15]Angalia, nimekuwekea leo mbele yako uzima na mema, na mauti na mabaya;Kumbukumbu la Torati 30:16
16kwa hivi nikuagizavyo