Huku Kilifi kwa Gavana @GideonMungaroM kumekucha salama, tayari kumaliza hustles za wiki. Nakuombea kwa mwenyezi Mungu jasho la mikono yako alibariki🙏
Kilifi ni TUTAM!
And she’s now acting like the savior of our constituency. When we needed her most she was nowhere. @Honeyfarsafi just be honest with yourself first before coming to act like you’re God sent Angel! No one will be against what you advocate for but let it be based on FACTS.
@Honeyfarsafi You are not being honest. I see you rattling the Malindi MP masking yourself as a savior for Malindi residents.
On 23rd of July I reached out to you seeking for assistance regarding some arrests
As you can see you and your fellow activist for pay did not respond.
@Honeyfarsafi@AminaMnyazi Wacha upuzi. Kilifi hakuna mahali inaitwa Kakoleni. Na @AminaMnyazi ni Mbunge wa Malindi si Kakoleni. Rudi Nairobi uka slay huko
Likoni 1 washerehekea ubingwa wa Dola Super Cup kaunti ya Mombasa baada ya kuichapa Likoni 2 magoli 7-6 kwenye fainali kupitia mikwaju ya matuta, mechi ikiisha sare ya 1-1 muda wa kawaida uwanjani Mwahima Grounds.
@UngaWaDola#DolaSuperCup
I met with Sen. Daniela Garnero Santanchè, the Italian Minister of Tourism, to sign an agreement for maritime education and training courses for youth in the coast region. The Italian Government will fund these courses to empower young people with skills for seafaring jobs..
Tungependa kuhakikishia umma kwamba, mashine zetu za kusafisha figo ( Dialysis Machines) zilizopo katika Hospitali kuu ya Malindi na Kilifi mtawalia, kwa sasa zinafanya kazi kikamilifu.
Awali, mashine moja iliyoko katika Hospitali kuu ya mjini Malindi ilikumbwa na hitilafu za kimitambo-Hii ni kutokana na utumizi wake wa saa 24 kwa kipindi cha muda mrefu. Hata hivyo, wataalam wetu walifanikiwa kuikarabati kwa haraka zaidi na kuirudisha katika hali yake ya kawaida.
Tayari tulikuwa na mpango wa kuongeza mashini hizi ili kuboresha utoaji wa huduma zake na katika kipindi cha miezi miwili ijayo, tutakuwa tumenunua jumla ya mashine 10 mpya ambazo zitasambazwa katika Hospitali zetu kuu.
Serikali ya Mstahiki Gavana Gideon Maitha Mung'aro imejitolea kwa hali na mali kuhakikisha wakazi wa Kilifi wanapata huduma bora za afya kwa wakati ufaao na tutazidi kujali maslahi ya afya yenu.
Tuko site, na kwa mara ya kwanza Kilifi, tutakuwa na huduma za wagonjwa mahututi, ujenzi wa chumba cha wagonjwa hao (ICU), kwa sasa unaendelea katika Hospitali kuu ya mjini Malindi na ukikamilika, hatutalazimika kusafiri tena kaunti zengine kutafuta huduma hizo.
Ndani ya Hospitali hiyo vile vile, kwa sasa tunajenga hifadhi mpya ya maiti huku ukarabati wa Wodi ya watoto nao ukiwa zaidi ya asimilia themanini kukamilika. Vyumba vya kulaza watoto vitakuwa venye hadhi na vya kisasa.
#mungarowamaendeleo
KIBAO CHA FUNDISA - ADU ROAD
Tulipokuwa nyanjani kuwaskiza, baadhi ya sauti zenu zilisema, tuendelee kuweka lami barabara ya Kibao Cha fundisa kwenda hadi Adu Kamale huko Magarini. Huu ndio urembo unaoendelea kwa sasa katika barabara hiyo.
Barabara hii itasaidia wakulima wetu wanaosafirisha mazao yao kutoka shambani na kuboresha usafiri wa wakazi wa Magarini kwa jumla. Ni Mung'aro wa Kilifi ambao unaingia hadi vijijini, na kazi bado kwani mkoko ndio unaalika maua maana Mung'aro huu lazima upapaswe kila pembe ya Kilifi.
#mungarowamaendeleo
@KilifiCountyGov
KIJIWETANGA- JACARANDA ROAD
Mlisema tuweke lami barabara ya Kijiwetanga- Jacaranda, sasa kazi inaendelea, tunatekeleza yale mliyotuagiza. Ujenzi wa barabara hii hautapiga jeki sekta ya utalii tu, bali pia usafiri wa wakazi wa maeneo haya. Huu ndio Mung'aro wa Kilifi, na utaendelea kung'ara kila kona ya Kilifi hii.
Wamumunyaji vibuyu 🎤 wapo ange kukuletea matangazo mubashara kutoka uwanja wa chuo kikuu cha Pwani.
Utapata kila sikunde, dakika, matukio na vituko vyovyote vile vya uwanjani katika fainali zote za wanaume na wanawake.
@GideonMungaroM