Hifadhi nguvu zako kwa ajili ya vita na mapambano yenye tija, na muda wa kupambana ukifika, hakikisha unapambana kwa kutumia kila ulichohifadhi; jino, kucha, ngumi, kisu, rungu, bastola na hata pesa.
GM - simaanishi Good Morning, namaanisha Get Money
JITATHMINI
Ujenzi wa Viwanja vya Ndege Waendelea kwa Kasi Nchini
Serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya usafiri wa anga nchini ambapo utekelezaji wa miradi mbalimbali ya viwanja vya ndege unaendelea kwa hatua nzuri. Awamu ya kwanza ya ujenzi wa viwanja vya ndege vya Tabora na Iringa imekamilika, huku ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato ukifikia asilimia 83. Aidha, maendeleo ya ujenzi kwa viwanja vya Sumbawanga na Shinyanga yamefikia asilimia 95, Musoma asilimia 67 na Kigoma asilimia 42. #UkweliUlibainika
#TumeYaUchunguziReport
Ripoti Ya Tume
Bro, tushakuwa watu wazima, Acha ujinga & ushamba wa kwenda date ufukweni, restaurant, cozy café, movie night, cheka tu nk
1st Date: Unam video call - Zoom/Google Meet
2nd Date: Unamchukua mnaenda Kisutu kusikiliza kesi ya TAL
3rd Date: Kituo cha watoto yatima
Be a MAN!🫵🏽
@TanzaniaLeaks Kwani shilole na baba levo wakongo?Ubunge sio cheo cha kifalme mpaka ufe mtu yoyote anayekidhi vigezo anauwezo wa kupata hiyo nafas bila shida yoyote tafakari tweets yako tumia facts zaid sio mihemko