@MYona2518@wasafirtanzania Ndio maana ametumia neno Mega za kwanza kuingia bongo, na nikukumbushe zote hizi ziliagizwa na ziliingia kwenye kifurushi kimoja.
@TheDoneL@bonichengula Aswaa yaani kampuni muda kuinsure chombo wanakufuata vizuri sana na mnakuwa na relation nzuri sana, pata majanga sasa muda wa kukulipa ni kama paka na chui.