Napambana kila siku sikati tamaa, one day I hope that I shall build a big Thing which will bring positive impact and changes to the world.
By God's grace I will make it.
Wengi huona usafiri wa Bodaboda ni wa kimasikini/masikini, nani aliyewaambia hivyo?
Lakini kumbuka kwamba Wafanyabiashara waliofanikiwa hufurahia usafiri huo kwa kuona kama mkombozi.
Kuna mtu anaguna hapa!!
Ni hiviii...
Mfanyabiashara yeyote aliyefanikiwa KIUCHUMI, hujali na kutunza MUDA!
Si ajabu ukamkuta, Mkinga/Mhindi/Mchaga kaacha chuma yake kwenye parking lakini anachukua boda ya mtandao au pikipiki yake ili kurush mahali faster.
Hii ni Kwa ajili ya kumuokoa katika muda unaoweza kufa kwenye foleni ya barabarani.
Hili ni jambo la MINDSET zaidi. Ambapo mtu asiye na utashi hawezi kulielewa kiundani.
Lakini pia kwa wenzetu nje, ni rahisi kuona Tajiri fulani anamiliki Private Jet.
Wengi wao hawamiliki kwa sababu ya UFAHARI, bali wanamiliki kwa sababu ya KUTOPOTEZA MUDA!!
Ndio maana pamoja na kwamba anaweza kuwa na ndege binafsi, lakini Kuna mahali anasafiri na ndege za abiria.
Utajiuliza ni kwanini?
Matajiri wa nje, hutumia ndege zao kwa sababu ya kuwahi DEALS za kibiashara. Hii inatoka na kwamba, wakati ambao angehitajika mahali na ndege ya abiria hakuna kwa wakati huo au kuna stopovers ambazo zinaweza kumchelewesha, anaona Bora kuwa na ndege binafsi.
Lakini wakati ambao anasafiri safari binafsi basi anatumia ndege za abiria wengine.
Kwahiyo, ndugu yangu kwa sababu ya UMAARUFU kidogo, usitake watu wakupangie maisha!!
Watu kukushangaa na wewe kupoteza muda kipi Bora katika maisha yako binafsi??
KUTUMIA USAFIRI WA HARAKA, SIO KUSHUSHA AU KUPANDISHA BRAND, BADALA YAKE NI KUTUNZA MUDA ULIOFICHA MAFANIKIO YAKO!!
Kila kitu ni kibaya ukikutumia vibaya. Hata Bodaboda ni mbaya ukiitumia vibaya na kutotii sheria za barabarani.
FOCUS ๐ซต๐พ๐ซต๐พ
Levavi Oculus ๐ช๐พ
Top 5 Leg Muscle Building Exercises!
1. Squat: 4 x 8-10
2. Romanian Deadlift: 4 x 10-12
3. Leg Extension: 4 x 12-15
4. Leg Curl: 4 x 12-15
5. Bulgarian Split Squat: 3 x 6-12
SIKIA MAMBO YASIWE MENGI
- Kama una mahusiano huyaeleweki
- Kama una madeni kila kona, kama unahisi kuna plan mbaya juu yako na unataka kuijua
CHEZA NA HIZI CODE HAPA
๐งตFUNGUA UZI MFUPI โคต๏ธ
JINSI YA KUMTOA AKILINI MWAKO HUYO MWANAMKE ULIYEACHANA NAYE.
Wanaume wengi hupata shida kumsahau mwanamke baada ya kuacha naye, hususani kama alikuwa anampenda sana.
Nitaielezea kwa undani hapa...
1. KUWA NA KUSUDI LA KUFANYA KITU KIPYA.
Unapopata kusudi lako jipya kwa ajili ya kulifanya hapo unakuwa kama unajipa mission mpya. Kwa njia hiyo, utashughulisha akili yako muda wote kuhusu hilo suala na baada ya muda, huyo mwanamke atatoka akilini mwako.
2. FANYA MAZOEZI (NENDA GYM AU FANYA HOME WORKOUT)
Hii ni mojawapo ya njia za haraka zaidi za ku-move on kwa urahisi. Unapozingatia maendeleo yako ya kimwili, unaiweka akili yako katika hali nzuri, na utapata positive energy. Mazoezi hayaboreshi tu umbo la mwili wako bali pia mawazo na mtindo wa kufikiria. Ukifikiria vizuri, huyo mwanamke atatoka akilini mwako.
3. KUWA NA MINDSET YA KUJIAMINI NA KUJIONA MFALME.
Ukiwa na "Fuck that shit, I am him" mentality, hautasumbuka hata kidogo pale mwanamke anapokuacha. Kwa sababu Mfalme anaelewa kwa kila mwanamke mmoja anayemuacha, kuna wengine watano wanasubiri kudate naye.
4. NORMALIZE KU--HANGOUT NA MARAFIKI ZAKO.
Unapozungukwa na marafiki zako wa karibu, ni rahisi kusahau mambo ya zamani, kwa sababu kuna mambo mengi utazungumza na rafiki zako kama mambo ya mpira na mambo ya kinaendeleo.
5. ONGEA NA WANAWAKE WENGINE (TONGOZA WANAWAKE WENGINE)
Kadiri unavyowasiliana na wanawake zaidi, ndivyo utakavyopunguza kuhuzunika au kukatishwa tamaa pale mwanamke mmoja anapokuvunja moyo.
Kumbuka daima: Wanawake ni bidhaa za ziada tu.
Usijidhuru kimwili, kihisia, kisaikolojia, au kifedha kwa sababu ya mwanamke ambaye amekucha, wewe ni wa thamani kuliko huyo mwanamke.
Hakuna mwanamke ambaye anastahi kukukosesha raha na amani
Na usisahau kwamba sio kila mwanamke atakupenda, lakini usisahau pia kuna wanawake wengine wazuri watakaokupenda.
Wathamini wale wanaokuthamini na achana na wale wasiokuthamini.
You're the PRIZE.
YOU'RE A KING!
mipango mikubwa haihitaji maneno mengi na kutangazwa kwa kila mtu ili kutimia,
Inahitaji plan imara, nidhamu, maarifa, actions, speed na kutumia kila leo vizuri na sio kusubiri kesho