Hizi sheria zetu za kuangalia upya.
Hii ni mbinu ya kuzuia wananchi kuwa matajiri ili kuendelea kukandamizwa.
As long as hakuna aliyeibiwa kodi iwe Fair watu walipe kwa utaratibu mzuri tukuze uchumi wa nchi. Kama nchi tunatakiwa kueliminate vikwazo yote vinavyozui utajir kwa Raia
"Ni kosa kisheria kuwa na miamala ya fedha isiyokuwa na maelezo kuwa imetoka kwa nani, na kwa ajili gani imekuja kwako, hakikisha kila hela unayopata unajua vizuri chanzo chake na pia kuweka kumbukumbu sawa umepokea kwa ajili ya nini?, kama ni kazi umefanya au biashara hakikisha kodi stahiki zimelipwa, kama ni hela ya msaada weka kumbukumbu sawa imetoka wapi na kwa ajili ya nini, kutokuzingatia haya utajiweka katika hatari ya makosa ya kodi, utakatishaji fedha na uhujumu uchumi"
Ni rai ya Wakili Onesmo Kasale Olengurumwa -Afritanza Attorneys
Unasababishia mamilioni ya watu mateso huku ukitamba halafu mwisho utumbo wako unabebwa kwenye sandarusi.
Asili ina namna nzuri sana ya kupambana na ego.
Wicknell alimpa Samia risasi ambazo alitumia kuua Watanganyika wengi sana
Samia na Abdul wakatoa order miili iiachwe barabarani kwa siku nzima , watu wakaruka sana maiti wakipita kwenda kwenye mahitaji ya lazima
Leo Wicknell Mwili wake umelala porini, mpaka sass mabaki ya mwili wake yametelekezwa kwenye eneo la ajali ,
Wote walioua Watanzania vifo vyao vitakuwa vya aibu sana
Tunaomba sana Kikwete and familia, Samia na Familia , IGP Wambura na Familia , CDF Mkunda na Familia , Museven na familia , Hichilema na familia
Wote mlipwe kwa namna ile ile mliyoshiriki kuwaumiza Watanzania, kama hawa wenzenu
Africa is a very strange continent. A dollar billionaire dies in a plane crash and more than 24 hours later, no company has come out to mourn it's founder.
UNBELIEVABLE!!!
It turns out Israel had warned Britain what was going to happen in Fairford!
Netanyahu said “You wanna hear how obsurd things are in Britain, we gave the Brits the intel that there was gonna be an Iranian sponsored attack and pretty much the next day they slapped sanctions on us”
Now you know why that just came out of the blue from our parliament that day. Everything is orchestrated to destroy us.
Though he shouldn’t say “The Brits” as the people he was giving it to should not be called or be classed as Brits, there traitors and Britain destroyers is what they are.
The real threat that is destroying our world is not Putin. IT'S THEM.they are the globalist oligarchs who seek to enslave us. And none are in prison for their CRIMES against humanity each one of them must be arrested immediately and brought to trial for crimes against humanity.⚔️
🚨 BREAKING: Two days after Sec. Marco Rubio revoked his visa, Bolivia's Attorney General Roger Mariaca has been ARRESTED for purported money laundering and drug trafficking
HUGE FAFO! 🔥
Rubio's State Department said Mariaca took BRIBES to help drug traffickers and violent criminals evade justice
Police caught 4 people sneaking bundles of CASH out of his house in an AMBULANCE, and 14 people have now been arrested, including four prosecutors.
Bolivia's government says the arrest came with the cooperation of the U.S.
Marco was on to him, holding nothing back! 👏🏻
🚨BREAKING: Treasury Secretary Scott Bessent is reportedly gearing up to REVOKE the tax-exempt status of nonprofits including George Soros' Open Society Foundations, CAIR, and the Southern Poverty Law Center.
And it could come with massive CIVIL PENALTIES and back taxes.
For decades, these political operations have masqueraded as "charities" while living tax-free on the American dime.
- Open Society pushes open borders, funds radical prosecutors, and bankrolls NGOs that sue America for enforcing immigration law.
- SPLC slanders conservative and Christian groups as "hate groups" to get them deplatformed.
- CAIR has been cited by federal prosecutors as an unindicted co-conspirator in the largest terrorism financing trial in U.S. history.
And you, the taxpayer, have been subsidizing it.
According to the NY Post, Treasury and IRS are drawing up a sweeping audit under President Trump's 2025 executive order targeting nonprofits operating with a "substantial illegal purpose" — financing political violence and organized radical action.
Bessent's inner circle is drafting the blueprint to strip 501(c)(3) status, which would force them to pay the 21% corporate tax rate like every real business.
If taxed at 21% for 2024 alone:
- Soros network would owe $163.6 MILLION
- SPLC: $354,000
- 17 CAIR chapters: $860,000
- Combined total: ∼$165 MILLION in taxes they dodged
Treasury officials are "like a dog with a bone" on this, sources say. Many of these groups are "on borrowed time."
This was made possible by Trump's memorandum "Countering Domestic Terrorism and Organized Political Violence" that directs the IRS to ensure no tax-exempt entities are financing political violence.
Bessent put it bluntly: "We are examining where tax exempt status has been exploited, where charitable entities have become financial conduits for foreign influence... and have enabled violence."
The ultimate irony? Bessent used to be Soros' own chief investment officer. Now he's the man dismantling the Soros empire.
It's about time.
Tanzania’s Tundu Lissu should win the Sakharov Prize
By nominating Tundu Lissu for the European Parliament’s Sakharov Prize for Freedom of Thought in 2026, the EPP Group sends a message of support for democracy and the rule of law in Tanzania. Facing a death sentence after an unfair trial and persecution, the Tanzanian opposition leader remains a courageous symbol of the fight for democracy, human rights and the rule of law.
"Tundu Lissu has been in detention for more than 500 days because he advocates for free and fair elections and a democratic future for his country. He continues to face the death penalty. There is no doubt about the political nature of his detention. Despite persecution and repression, Tundu Lissu remains steadfast in his democratic convictions. By nominating him, the EPP Group honours this extraordinary courage. The European Union must no longer tolerate the criminalisation of legitimate opposition work or the manipulation of the judiciary in Tanzania," says @davidmcallister MEP, Chair of the European Parliament’s Committee on Foreign Affairs.
"The struggle of Tundu Lissu highlights the critical erosion of democratic pluralism and constitutional rights in Tanzania. This nomination reinforces the EPP Group’s solidarity with democratic defenders worldwide. We must ensure that the rule of law is used to protect political freedom, in Tanzania and throughout the world," insists @ReinholdLopatka MEP, who nominated Tundu Lissu for the Prize on behalf of the EPP Group.
"Given the strong partnership Europe has with Tanzania, we cannot and will not look away when political persecution, such as that faced by Tundu Lissu, takes place. We will highlight this unacceptable behaviour with his nomination for the Sakharov Prize," states @lukasmandl MEP, chairing the EPP Group in the Development Committee.
The Conference of Presidents of the European Parliament will choose the laureate from among three shortlisted names on 22 October.
Mourning a conman & dodgy dealmaker
Influential 'businessman' yet folks have no clue about many things
What business did he do in 🇹🇿, and with whom?
How many jobs did he create?
How much 💸 tax did he pay to TRA coffers?
And much more 🤔
Politics of backroom deal-making
Maofisa wawili wa Jeshi la Uganda (UPDF) wamejitokeza kuzungumza walipo, na mateso wanayopitia, raia wanaotekwa na kuwekwa kizuizini na CDF ambaye ni mtoto wa dikteta Museven.
Wamesambaza video za wahanga.
Tunasubiri kwa hamu siku kama hii nchini Tanzania.
Mungu ibariki TZ!
Mshtakiwa ameomba kama ana hatia anyongwe. Washtaki wake wanamuombea asinyongwe. Apewe hata adhabu ndogo!
Sijawahi kuona upande wa mashataka unaiomba mahakama adhabu ndogo.
Ni wazi wameshindwa kuthibitisha mashataka yao kwa hiyo wanataka wapate something out of nothing.
#FreeTunduLissu
Trump amesema anataka kubadili jina la “Artificial Intelligence AI” kuwa Super Intelligence na litumike hivyo duniani kote. Trump amekutana na wakuu wa makampuni ya Teknolojia ya USA akiwepo Elon Musk, kwa lengo la kuifanya USA izidi kuongoza katika AI na kudhibiti madhara yake.
Tarehe 29 kamwe haitafutika katika mioyo yetu. Unyama na mauwaji yaliyofanywa na Samia Suluhu akijilazimisha kuwa rais wa Tanzania ni doa na kidonda cha kudumu katika historia ya utu wa Mtanzania.
Tunataka UWAJIBIKAJI.
May all the fallen heroes keep resting in peace.
Katuga alikuwa anaona sifa kuhesabu Matrekta ya @HecheJohn badala ya kuandaa Final Submission ya Jamhuri yeye alifocus kuhesabu matrekta ya mwaume mwenzie.
Leo mwanzo hadi mwisho alikuwa anahaingaka kujibu hoja za Final Submission ambayo Mhe. Lissu alifanya na hajafanikiwa Kwa lugha nyepesi ni kama ile Final Submission ya Mhe. Lissu iliwavuruga sana.
Ndo maana leo, amejikanyaga sana kuna muda alikuwa anaongea vitu mpaka yeye mwenyewe anashindwa kuelewa alitaka kusema nini sema ndo vile Mahakama zetu zinaendeshwa kwa vimemo ila ingekuwa ni nchi ambazo Mahakama ziko huru Mhe. Lissu angekuwa aliachiwa kitambo sana.
Huyu ni shemeji yake na makamu wa Rais haram, Deo Ndejebi… Yani huyu ni mdogo wa baba mmoja na mama mmoja wa Subira mke wa Deo. Yani huyu ni binti wa mwisho wa Adadi….
Mtoto mdogo huyu, hajui A wala B…
Nchi imetekwa na kundi dogo. It’s time to fight.
Yani wanahakikisha nchi nzima imeshikwa na familia zao au close friends tu, sisi wengine tunakamuliwa.
Alafu Watanzania wenyewe wako busy na upumbavu wa linda mgongo wako. Hivi huu ustupid tutaacha lini? Wanaweka wananchi busy na trend za kipuuzi huku wao kimya kimya wanainyonya nchi na familia zao. Imagine mambo kama haya yanaendelea Watanzania wanatolewa focus na upuuzi
This is why CCM wanang’ang’ania nchi ni ili mpaka wajukuu zao waje kututawala kama hivi….
Ila mijitu ya CCM sijui ni mi zero brain kiasi gani, mijitu imesota huko CCM miaka na miaka ila position za maana wapeana wenyewe CCM mtandao na familia zao, yenyewe imebaki kufanya uchawa kama mazuzu.