Kupitia chaguzi ambazo zimefanyika na kuendelea kufanyikaa ndani ya Vyama ya Siasa.. Fursa na Changamoto ni zipi kwa Vijana kuelekea Uchaguzi Mkuu,2025?
Ijumaa Ijayo (31.01.2025), tuyazungumje pamoja
#VijanaNaUongozi#VijanaTuongoze#ActivistaTanzania
@UNATanzania Ni wakat vijana tuingie katika vyama vya kisiasa (Uvccm, Ngome ya Vijana etc); tukubali kiwango kikubwa cha ushiriki wetu umelala katika njia hii.
Tuingie mezani tuache utoaji vyombo
@UNATanzania Vijana tunafanya mengi katika purukushani za kila siku, japo ukosekanaji wa majukwaa yanayotambulika unafanya katika kusimamia mambo yetu ndio changamoto: wengine wanawakilisha vijana na vijana wenyew hawajui kuwakilishwa kwao.
RVT tulipata mualiko wa @africanchildpr3 kupitia "Ongea Na Demokrasia" ktk warsha wa kuzindua ripoti ya tafiti ambayo wamefanikiwa kuifanya juu ya kuhamasisha huu ya utamaduni wa demokrasia ba demokrasia ya kiteknolojia, na kutengeneza jukwaa la wazi kwa jina la 'Sema Tanzania'.
@Neypaul01 Energy ni Tshs 600/= tu hata Jero kuna possibility ya kupata. Zingine tunamake kesho tukanunue kiwanja, tuweke kibanda, tuweke na friji, alafu nianze kula na kuacha kushindia Energy ๐