RVT is an NGO that envisages having a society that makes decisions based on research; Stimulating Knowledge Creation and Dissemination.
[email protected]
Ulikua ni mjadala mzuri. Nasi RVT tumeona changamoto katika matumizi wa taarifa sahihi inayofanya vijana wengi washindwe kushiriki.
Ni wakati, wadau wa Demokrasia na Siasa Nchini (zaidi vyama vya Siasa) kuweza kutoa taarifa sahihi na kwa muda kuwezesha vijana washiriki 📌
Asante kwa Wazungumzaji wote, pamoja na washiriki katika mjadala huu. Ni mwanzo katika safari ya mijadala mingi inayohusisha ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika jamii, uchumi na siasa 💥
#VijanaNaUongozi#VijanaTuongoze#Activista#Tanzania
https://t.co/8FGa09o7jI
Set a reminder for our upcoming Space! https://t.co/8FGa09oF9g
"CHAGUZI ZA VYAMA VYA SIASA: Fursa na Changamoto kwa Vijana Kuelekea Uchaguzi Mkuu, 2025."
#VijanaNaUongozi#VijanaTuongoze#ActivistaTanzania
Ni Mwanasheria aliyejikita katika masuala ya haki za binadamu, zaidi katika ushiriki wa vijana katika uongozi na demokrasia, pia ndio Katibu Mkuu wa Mtandao wa Activista Tanzania Ndugu @Comrade_Davis atakua muongozaji katoka mjadala.
#VijanaNaUongozi#VijanaTuongoze#Activista
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii. Mhe. Danstan Kitaula akizungumzia umhimu wa utafiti kwenye swala la Mabadiriko ya Tabia ya Nchi Leo tarehe 28/08/2024 akijibu swali la Mbunge kuhusu mradi wa kupanda miti na ushirikishwaji wa watafiti wazawa katika ulkulinda mlima Ki/manjaro.
Uchaguzi na Utawala Bora ikiwa ni ishara ya ukuzaji na uendelezaji wa demokrasia nchini.
Rai kwa jamii, na wadau wote wa maendeleo kupitia ripot hii na kuweza kupata taarifa ambazo zitasaidia katika kufanya maamuzi sahihi kwaajili ya kukuza na kuendelea hali ya demokrasia nchini.
RVT tulipata mualiko wa @africanchildpr3 kupitia "Ongea Na Demokrasia" ktk warsha wa kuzindua ripoti ya tafiti ambayo wamefanikiwa kuifanya juu ya kuhamasisha huu ya utamaduni wa demokrasia ba demokrasia ya kiteknolojia, na kutengeneza jukwaa la wazi kwa jina la 'Sema Tanzania'.
Ripoti imeshauri serikali kuwek mifumo ambayo itaendelea na kukuza demokrasia, kutoa elimu ya urai kwa umma juu ya matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii wakiwa wanatumia haki za kujielezea na kutoa maoni; pia serikali kupitisha Mkataba wa Afrika Juu ya Masuala ya Demokrasia,
Tangible Initiatives for Local Development Tanzania as part of the Data-Driven Advocacy coordinated 10CSOs and met with 15 Members of Parliament in the Parliament’s Conference room in Dodoma. During the meeting, the team discussed with MPs laws fostering civic space in Tanzania.
PLAO ni shirika lisilo la kiserikali ambalo linafanya shughuli zake kwa kuangazia jamii yenye Sera bora, Sheria Madhubuti na Haki kwa Wote kupitia kufanya uchambuzi na tafiti mbalimbali sambamba na uchechemuzi kwa wafanya maamuzi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Policy and Legal Assistance Organization (PLAO @PLAOtz ) Ndugu Bahati Suley leo Juni 09, 2022 ametembelea ofisi za Reseacrh Voice Tanzania (RVT) na kupokelewa na Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Davis Komba.
... pia kusaidia katika shughuli za uchechemuzi kwa wafanya maamuzi katika kuangazia jamii inafanya maamuzi yanayotokana na taarifa sahihi.
Mengi yatafuata baada ya kikao hiki, kuwa tayari.
#TafitiKwaMaamuzi#UtawalaBora#SautiZaTafitiTZ