Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bw. Charles Hilary, Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar kilichotokea leo Mei 11, 2025.
Ninatoa pole kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Mwinyi, familia, ndugu, jamaa na marafiki na wadau wote wa sekta ya habari nchini kwa msiba huu.
Ndugu Charles Hilary atakumbukwa kwa mchango wake adhimu wa zaidi ya miaka 40 katika kukuza sekta ya habari nchini tangu akiwa redioni hadi kwenye televisheni, pamoja na unasihi kwa wanahabari wachanga.
Namuomba Mwenyezi Mungu aijaalie familia yake uvumilivu na subra katika kipindi hiki kigumu, na ailaze roho ya mpendwa wetu mahala pema.
Hakika sote ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake tutarejea.
Recognizing the impact of climate change, #YapendeMazingiraFoundation had the opportunity to participate in a capacity building session about environmental conservation for climate action for Tabada Primary School students,organized by #StarshineTanzania with other youth-led ORGs
Mapema wiki hii jijini Arusha kwenye maadhimisho ya #WPFD2025, nimekutana na kufanya mazungumzo na vijana mabalozi na waraghabishi wanaotumia mitandao ya kijamii na majukwaa ya kidijitali kama nyenzo ya kuelimisha, kuibua fursa na kuchochea mabadiliko chanya katika jamii.
A4DG through #Let’sTalkGovernance program is organizing a virtual dialogue to reflect on the “2025 General Election Code of Conduct, A Space for Young Peoples.
Are you interested to participate.? Please join us and book your slot to participate through:
https://t.co/HOy4eVMGMa
It was a great honor to lead the first session of the youth dialogue on climate change, agriculture, and food security in TZ, organized by #YMF and @_activista255. The event brought together passionate speakers and youth leaders from various organizations and Social Movements.
AFSYLs & DFSYLs Training, Learning Exchange & Youth Dialogue – Day 1 kicks off with an opening session led by @SaddamKhalfan from @GAIN_TANZANIA. This session sets the stage for a journey focused on strengthening youth action in food systems. #vijana4food
#HikiApaChangu je wewe ushachukua chako?
Kwa Vijana wa Dar Es Salaam, zoezi la Kuboresha Daftari la Mpiga Kura linaishia siku ya leo. Ushaweza kukamilisha zoezi hili na kuwa tayari kushiriki #UchaguziMkuu2025 ?
𝗪𝗲 𝗦𝘁𝗮𝗻𝗱 𝘄𝗶𝘁𝗵 𝗬𝗼𝘂, 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴 𝗬𝗼𝘂𝗿 𝗛𝗮𝗻𝗱 𝗘𝘃𝗲𝗿𝘆 𝗦𝘁𝗲𝗽 𝗼𝗳 𝘁𝗵𝗲 𝗪𝗮𝘆! 💪
As we continue to mark 𝗦𝗲𝘅𝘂𝗮𝗹 𝗔𝗯𝘂𝘀𝗲 𝗮𝗻𝗱 𝗦𝗲𝘅𝘂𝗮𝗹 𝗩𝗶𝗼𝗹𝗲𝗻𝗰𝗲 𝗔𝘄𝗮𝗿𝗲𝗻𝗲𝘀𝘀 𝗪𝗲𝗲𝗸, BRAC Maendeleo has a 𝘀𝗽𝗲𝗰𝗶𝗮𝗹 𝗺𝗲𝘀𝘀𝗮𝗴𝗲.
Heri ya wiki ya wanawake.
Programu ya #NIKONEKT imewafikia vijana wanawake 208 wa vyuoni na wafanyabiashara mtandaoni.
Kupitia mafunzo ya fursa mtandaoni yamewasaidia kukuza chapa zao na kuboresha mbinu za kupata wateja wapya.
#MitandaoPlus#IWD2025
Kukutana na vijana viongozi wanaounda @ALII_Africa, ilikuwa fursa ya kipekee!
Tulijadili kwa kina maeneo ya ushirikiano baina ya asasi zetu, huku tukitafakari upya njia bora za kuimarisha juhudi za kuifikia na kuiwezesha jamii.
Cc, @ElimikaWikiendi | #ElimikaWikiendi
"Linapokuja suala la ukatili dhidi ya wanawake, hakuna mila iliyohatari na iliyosambaa zaidi kama ndoa za utotoni” –Desmond Tutu,
#Malezi #116 #earlymarriage#GBV#Familia
📣 The UN Youth Office is inviting young people (18–35) to take part in the 2025 ECOSOC Youth Forum in New York City from April 15–17! Up to 15 young leaders will receive support to attend in person.
Apply by 12 February 2025
🔗 https://t.co/cvSKvJo94Q
Kwenye #ElimikaWikiendi na Dr. @JuliethSebbaMD leo tumeona jinsi magonjwa yasioambukiza yanavyoweza kuwa hatari kwa afya.
Moja kwa moja kutokea Dar es Salaam tumezungumza na mwanajamii @franklin_tissa kuhusu umuhimu wa kufanya mazoezi ili kujikinga na magonjwa yasioambukiza.
#PamojaTunaweza
@vodacomtzfound@MuhimbiliTaifa