@ACTwazalendo@zittokabwe@AdoShaibu@othmasoud Mkitoka Hapo mnalalamika ooh hakuna demokrasia Sijui vikao tunazuiwa haya Sasa Hapo Kuna m2 kaja kuwakataza msifanye huo mkutano wenu?
@moodewji Uache Roho mbaya we muhindi.tajiri Gani unakuwa navijembe Kama mwijaku hovyo kabisa wewe.tuachie Tim yetu tutachangishana tuiendeshe,unaonea Watu kisa vipesa vya urithi hivyo
@AbediMuharami@all_funnest@mashoo_jr@tz_pride @Iamsospete1 @gastonkish_____ @OfficialFad123 Huyu dalali tu boss Gani anakuwa nawivu wa umaarufu.Atuachie Tim yetu tutaiendesha wenyewe