Kamwe Usimdharau Mpenzi Wako,Mume Au Mke Wako Kwa Sababu Tu una Idadi Kubwa ya "Wanaume au Wanawake" Wanaokutaka.
Note:๐๐พ Unaweza Ukawa na Mvuto Wa Kuwafurahisha Wengi Wakakutaka ila Sio Mvuto wa Kuishi Nao Kama Mke Au Mume Kwenye Ndoa.
BADILISHA HIYO TABIA๐
#KijiweChaInjili